BigTall
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 706
- 1,716
Ndugu zangu, huu mjadala ulikuwa chinichini ila sasa naona kumbe hata huko X watu wanajadili kama vile mimi na wanangu tulivyokuwa tukijadili, kwahiyo ndio ukweli kwamba Shilingi Bilioni 4.327 zimemwaga kwa miundombinu hii?
Pia soma ~ Waziri Mkuu Majaliwa azindua Stendi ya Sh Bilioni 4.3, Nzega Mjini