Hivi waungwana hii Stendi ya Nzega Mjini ndio ya Sh Bilioni 4 kweli? Au mimi sijui kuthaminisha vitu!

Hivi waungwana hii Stendi ya Nzega Mjini ndio ya Sh Bilioni 4 kweli? Au mimi sijui kuthaminisha vitu!

Ni sahihi kabisa hujakosea.kwa aina ya awamu tuliyonayo ya kifisadi hiyo bilioni nn huenda wamedanganya.hapo ni bilioni sita zimeliwa.sisi wananzega tunaojua hiyo siri
 
Mimi wakinipa hiyo bilioni 4 najenga stendi kam hizo 4 na chenji inabaki ya kwenda Dubai kula bata na msanii mmoja wa kike wa Bongo muvi/Bongo fleva.
 
Kwa hiyo Kiongozi na watawala wake ndio na zaidi bei kuwa kubwa. Yeye Dalali anashindwa kuhoji hata wakuu wa mashirika yaliyotajwa na CAG kwa HATI chafu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom