mkuu ilitengwa bajeti ya mil 4200 na ilitakiwa izungushiwe vibanda vya wafanya biashara na ghorofa. Pemben kuna eneo kubwa lilitengwa kwa ajili ya paking ya maroli na ilitakiwa mradi ukamilike kwa pamoja na hamna kilichofanyika walichotoa ndio hichoWe unajua ni gharama ya shilingi ngapi kujenga stand kama hiyo?
kwahiyo hapo vifaa vilikuwa vinanunuliwa nje? Na mafundi walitoka nje?Yawezekana ikawa ya Bilion4 kwasababu tutambue kuwa shilingi yetu mwakajana Ili underperform.saana 1$ ilifika mpaka Tsh2800/= kuitaja bilioni 4 inaonekana nikubwa ila kwenye matumizi pesa haiendani na uhalisia
300M kwa calculations za haraka, hata sisi tumejenga tunajua, hiyo kwa standard za serikali maybe ikizidi sana ni 500M Tsh.We unajua ni gharama ya shilingi ngapi kujenga stand kama hiyo?
Jenga Tu hata nyumba kama hizo Hapo stendi uone kama inafila B4Yawezekana ikawa ya Bilion4 kwasababu tutambue kuwa shilingi yetu mwakajana Ili underperform.saana 1$ ilifika mpaka Tsh2800/= kuitaja bilioni 4 inaonekana nikubwa ila kwenye matumizi pesa haiendani na uhalisia