Masikini hulalamika kuwa matajiri ndio hawafanyia maisha magumu wasijue ni jinsi wanavyoishi maisha yao wenyewe
Nakuelewa sana, lakini biashara ya mafuta inaenda ki "cartel" , hata ukianzisha huwezi kuuza chini ya inayoamuliwa..Hapana,maana ya ndani ya kauli yangu ni atuwekee Bei ya mafuta duniani,gharama za miundo mbinu ya kuuza mafuta,yaani ikiwemo na mishahara ya wafanyakazi
Wanatofautiana some shillingsNakuelewa sana, lakini biashara ya mafuta inaenda ki "cartel" , hata ukianzisha huwezi kuuza chini ya inayoamuliwa..
Magufuli alifanya kazi gani babu!!!? Alikuta uchumi inakua kwa Kasi ipi yeye akaufanyaje!?..udikteta Koko Karne ya 21!!!Kuna Mwanamke alidiriki kusema, Et tumeshushwa kutoka uchumi wa Kati nakurudi nyuma Si Kwa mapenzi ya mtu Bali mapenzi ya Mungu
Nilichekaaaa, nikajua huyu mtu MNAFIKI
sana, Mungu gan huyo anataka watu waendelee kua Masikini.
Baadae nikagundua, kasema vile, ili ionekane Si Kwa JUHUDI za Magufuli ndo kilifanya Taifa liingie uchumi wa Kati, Bali Mungu , kwa Lugha nyingine, Magufuli kwake hakufanya kazi !!
Hizi ni laana , laana wanazopitia Hawa watu,ndo zinafanya walipe Vijana njaaa Mitandaoni Kumchafua Hayati Magufuli ,asiyechafukika.
ngoja tuingie kaziniHuyu Lake Oil ndio yule wa blue [emoji838] blue, masheli makubwa makubwa, na mengi..
Wanahisa ni akina nani, na marafiki tuwajue. Ndio wanaokula hizi mpya za EWURA..