Hivi wauza mafuta / (petrol, dizeli) ni akina nani nchi hii?

Hivi wauza mafuta / (petrol, dizeli) ni akina nani nchi hii?

Hapana,maana ya ndani ya kauli yangu ni atuwekee Bei ya mafuta duniani,gharama za miundo mbinu ya kuuza mafuta,yaani ikiwemo na mishahara ya wafanyakazi
Nakuelewa sana, lakini biashara ya mafuta inaenda ki "cartel" , hata ukianzisha huwezi kuuza chini ya inayoamuliwa..
 
Kuna Mwanamke alidiriki kusema, Et tumeshushwa kutoka uchumi wa Kati nakurudi nyuma Si Kwa mapenzi ya mtu Bali mapenzi ya Mungu


Nilichekaaaa, nikajua huyu mtu MNAFIKI
sana, Mungu gan huyo anataka watu waendelee kua Masikini.


Baadae nikagundua, kasema vile, ili ionekane Si Kwa JUHUDI za Magufuli ndo kilifanya Taifa liingie uchumi wa Kati, Bali Mungu , kwa Lugha nyingine, Magufuli kwake hakufanya kazi !!




Hizi ni laana , laana wanazopitia Hawa watu,ndo zinafanya walipe Vijana njaaa Mitandaoni Kumchafua Hayati Magufuli ,asiyechafukika.
Magufuli alifanya kazi gani babu!!!? Alikuta uchumi inakua kwa Kasi ipi yeye akaufanyaje!?..udikteta Koko Karne ya 21!!!
 
Back
Top Bottom