Hivi wazazi wa Mai wanajielewa kweli?

yule dj arch Jr saivi ni producer pia. ana miaka 6 saivi
 
Sifa mojawapo ya wachawi ni kutamani wengine wapatwe na mabaya ili baadaye waseme "tulijua tu"....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora na wewe useme ,wengine tunaonekana tuna roho mbaya hapa

Sent using Jamii Forums mobile app

Usimseme vibaya / usimtabirie mabaya mtoto wa mwenzio wakati we mwenyewe hujui wa kWAKO atakuaje, mtu yyte anaweza kuharibikiwa hamna bingwa wa malezi ni kumuomba Mungu tu na mtoto mwenyewe kujitambua. Wapo watoto wa geti kali, watoto wa wachungaji, watoto wa masheikh na wameharibikiwa. Ukimnyooshea mwenzio kidole kimoja kumbuka kuna vidole 3 vinakupoint ww.
 
Swali ambalo huwa najiuliza hivi mtoto kama huyu anakuwa na nini hasa cha kumvutia mtu!


mi mwenyewe huwa najiuliza hawa wanaume wanaobaka vitoto vidogo, huwa wametamanishwa na kipi au ndio ushetani wao tu kuharibu watoto wa wenzao. Inaskitisha sn😢
 
Ungeandika kwamba umeshuhudia kitu kwenye maisha yake.. ningekuambia ongea na wazazi wake.. vinginevyo ni acha wivu na kuandika maneno mabaya juu ya mtoto wako.
 
Mai yupo vizuri. Big up kwa wazazi wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…