Hivi wazazi wa Mai wanajielewa kweli?

Hivi wazazi wa Mai wanajielewa kweli?

Mark angel amewatengeneza emmanuela na success sasa hivi anaingiza hela kupitia YouTube
Dj arch kamtengeneza mwanae anaitwa dj arch junior toka ana miaka miwili anachezea deck Kama mtu mzima akiwa na miaka miaka 3 alishinda south Africa got talent na akaweka rekodi ya dunia ya kuwa dj mdogo zaidi duniani
Sasa kwanini zumo asimtumie mwanae?
Mtoto kuwa na maadili au kutokuwa na maadili ni majaaliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
yule dj arch Jr saivi ni producer pia. ana miaka 6 saivi
 
Habari zenu ndugu wana jf ni matumaini mko vyema !
Niende moja kwa moja kwenye mada ,Nimetokea kufuatilia clip za youtube za maigizo ya huyu mtoto Mai ni mtoto mdogo sana ambae hajajitambua lakini namna wanavyo mu expose kwenye social media sidhani kama ni sahihi sana naona ni kama kumnyima haki ya utoto wake ,mtoto hana budi kulelewa kama mtoto mpaka pale atakapo jitambua .
Huyu mtoto anakila dalili ya kuharibikiwa kimaadili muda si mrefu ,sitashangaa kama atakuja kuwa na tabia kama za akina wema hapo mbeleni.
Nawasilisha.


View attachment 1051555

Sent using Jamii Forums mobile app
Sifa mojawapo ya wachawi ni kutamani wengine wapatwe na mabaya ili baadaye waseme "tulijua tu"....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora na wewe useme ,wengine tunaonekana tuna roho mbaya hapa

Sent using Jamii Forums mobile app

Usimseme vibaya / usimtabirie mabaya mtoto wa mwenzio wakati we mwenyewe hujui wa kWAKO atakuaje, mtu yyte anaweza kuharibikiwa hamna bingwa wa malezi ni kumuomba Mungu tu na mtoto mwenyewe kujitambua. Wapo watoto wa geti kali, watoto wa wachungaji, watoto wa masheikh na wameharibikiwa. Ukimnyooshea mwenzio kidole kimoja kumbuka kuna vidole 3 vinakupoint ww.
 
Swali ambalo huwa najiuliza hivi mtoto kama huyu anakuwa na nini hasa cha kumvutia mtu!


mi mwenyewe huwa najiuliza hawa wanaume wanaobaka vitoto vidogo, huwa wametamanishwa na kipi au ndio ushetani wao tu kuharibu watoto wa wenzao. Inaskitisha sn😢
 
Ungeandika kwamba umeshuhudia kitu kwenye maisha yake.. ningekuambia ongea na wazazi wake.. vinginevyo ni acha wivu na kuandika maneno mabaya juu ya mtoto wako.
 
Mai yupo vizuri. Big up kwa wazazi wao
 
Back
Top Bottom