Hivi wazazi wa Mai wanajielewa kweli?

Hivi wazazi wa Mai wanajielewa kweli?

Ya nini ufiche kipaji cha mtoto? mleta mada angalia familia yako za wenyewe waachie wenyewe
 
Tena watt kama hao huwa na akili sana na wanaanza kujipambanua wakiwa bado wadogo kutokana na mazingira ya kazi yake
 
Ukisikia mtoto ni kitega uchumi ndio kama ivyo,Fursa iyo kaka
 
Au kuwa kama yule aliefungwa kwa murder
Kwa kweli sio vizuri kukapelekesha hivyo katoto kadogo hivyo
Maisha gani haya anayofanyiwa?


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Habari zenu ndugu wana jf ni matumaini mko vyema !
Niende moja kwa moja kwenye mada ,Nimetokea kufuatilia clip za youtube za maigizo ya huyu mtoto Mai ni mtoto mdogo sana ambae hajajitambua lakini namna wanavyo mu expose kwenye social media sidhani kama ni sahihi sana naona ni kama kumnyima haki ya utoto wake ,mtoto hana budi kulelewa kama mtoto mpaka pale atakapo jitambua .
Huyu mtoto anakila dalili ya kuharibikiwa kimaadili muda si mrefu ,sitashangaa kama atakuja kuwa na tabia kama za akina wema hapo mbeleni.
Nawasilisha.


View attachment 1051555

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuishi kwa Mazoea na kukariri formula Mind you maisha hanayana formula tatizo letu wanadamu tumeumbiwa kinywa hata ufanyeje lazima tutasema tu ata ukikaa kimya tutasema...kwani hawa kina amberruti na wema walikua exposed tokea utotoni??..au uyo mtoto wanamchezesha X?..sijakuelewa ujue yan umefocus kwenye negative....Alafu baadae akija kuwa muigizaji mzuri wakija kusema alianza tokea utotoni wewe ndio utakuja kuwa wa kwanz kupiga nae picha....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu hadi Leo humu Jf hawajui vipaji vyao....Mwacheni mtoto Wa watu huko atumie kipaji chake na tunaambiwa tujiajiri siku hizi ajira chache na siku zinavyosonga zinazidi kuwa chache.......Mwendo ni kujiajiri
 
Hii nchi kutambua kipajì cha mtoto tangu akiwa mdoğô ni ngumu sana, baadhi ya wazazi wanaoweza kutambùa hicho kipaji na kuķifanya kiwe pesa ambayo hiyo pesa îtumike vyema kumtunza na kumuendeleza mtoto itakuwa ni jambo jema sana

Namtakia kila lakheri huyo mţoto
 
Back
Top Bottom