Hivi wazee ni nini chanzo halisi Cha shinikizo la juu la damu yaani blood pressure especially for young people in their 20's

Hivi wazee ni nini chanzo halisi Cha shinikizo la juu la damu yaani blood pressure especially for young people in their 20's

uko wapi??
anza kufanya mazoezi
WA_1778873650494.jpeg


Mishe zangu nyingi za mahangaiko mkuu.
 
kweli ulaji na kutofanya mazoezi inachangia ila internet na social media imetufanya kuwa socially inactive. Hivyo tumekosa ile human interaction na kuona internet kama source of information. Mwishowe kitu ulichostahili kumuambia babu, bibi au wazazi ama ndugu ambaye angekupa solution na affection ya kutuliza dhoruba zakk. Unaishia kuomba msaada mtandaoni ambapo hawakujui na pengine watakupa info general na matusi ikibidi..

Mbaya zaidi hata spiritual systems hatuziamini sana kwa hiyo. Tumeziacha zile traditional ways za ku_solve matatizo na kutuliza akili. Lakini tunaigeukia teknolojia ama njia ambazo hazitusaidii sana
 
Back
Top Bottom