Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
- Thread starter
- #21
Huwa naskia Haina tiba once you got ndio inaendelea ni kuicontrol tu.Inatokea tu umeipata fanya mazoez au usifanye. Unaweza tu ukaipata
Huwa naskia Haina tiba once you got ndio inaendelea ni kuicontrol tu.Inatokea tu umeipata fanya mazoez au usifanye. Unaweza tu ukaipata
kweli ulaji na kutofanya mazoezi inachangia ila internet na social media imetufanya kuwa socially inactive. Hivyo tumekosa ile human interaction na kuona internet kama source of information. Mwishowe kitu ulichostahili kumuambia babu, bibi au wazazi ama ndugu ambaye angekupa solution na affection ya kutuliza dhoruba zakk. Unaishia kuomba msaada mtandaoni ambapo hawakujui na pengine watakupa info general na matusi ikibidi..
Mbaya zaidi hata spiritual systems hatuziamini sana kwa hiyo. Tumeziacha zile traditional ways za ku_solve matatizo na kutuliza akili. Lakini tunaigeukia teknolojia ama njia ambazo hazitusaidii sana
Watu wengi wanakuwaga na magonjwa sugu kwa muda mrefu sema kwa sababu hatunaga kawaida ya kujipima.Still hata wataalamu wanakuambia lifestyle sio mainly maana Kuna other issues more than this that why medical examination is crucial.
Dawa nyingi sana zinabadilisha utendaji wa moyo... Sema ni vile watu huwa hatujipimiStill hata wataalamu wanakuambia lifestyle sio mainly maana Kuna other issues more than this that why medical examination is crucial.
Pengine mimi ni laggard. Who knowsKupinga technology ni ujinga mkuu, adopt it and use it to solve your own problems man.
Nimekupata mkuu unachokisema makes sense.Pengine mimi ni laggard. Who knows
Na pia nimetoa insight zangu kuhusu issue ya presha na kwa jinsi gani inaweza kuwa negative product ya social media. Je, nimesema ipigwe marufuku au isitumike ama kuna ubaya kuonesha tatizo na pengine ni step ya kwanza kutolewa suluhisho ?...
Cha ajabu unaweza kutembea na tatizo especially hii "Silent killer" for even a decade bila kuonesha dalili mpak pale itakapo lipuka ndipo watu hujigundua Wanatatizo.Dawa nyingi sana zinabadilisha utendaji wa moyo... Sema ni vile watu huwa hatujipimi
Kabisa mkuu, ndio maana wataalamu wanakuambia ni Bora ukawa na tabia ya kupima ufahamu tatizo mapema ili uepuke madhara yanayoweza kusababishwa na effect ya kutembea na magonjwa. Kuna dogo ndugu yangu he is just 17 kagundulik na hypertension na cha ajabu mazoezi anafanya especially kucheza mpira, msosi wa shule anaconsume nyumbani pia ni wastani we actually don't know what is the actual cause of him having hypertension.Watu wengi wanakuwaga na magonjwa sugu kwa muda mrefu sema kwa sababu hatunaga kawaida ya kujipima.
Mfano magonjwa ya moyo
Wataalamu wanasema kama ndugu yako amewahi kuwa na magonjwa fulani yasiyo ya kuambukiza na wewe lazima uwe nayoKabisa mkuu, ndio maana wataalamu wanakuambia ni Bora ukawa na tabia ya kupima ufahamu tatizo mapema ili uepuke madhara yanayoweza kusababishwa na effect ya kutembea na magonjwa. Kuna dogo ndugu yangu he is just 17 kagundulik na hypertension na cha ajabu mazoezi anafanya especially kucheza mpira, msosi wa shule anaconsume nyumbani pia ni wastani we actually don't know what is the actual cause of him having hypertension.
Kuna uwezekano mkubwa kabisa maana inaweza kuwa linked to genetics.Wataalamu wanasema kama ndugu yako amewahi kuwa na magonjwa fulani yasiyo ya kuambukiza na wewe lazima uwe nayo
Inawezekana hizi machine zinaweza kuwa na errors nyuma yake. Lakini mkuu 17 years mtu akishapewa zile medication sindio huwa naskia ni lifetime huwezi kuacha.Hii ni mada kubwa sana kujua “Root Cause” hua nahisi pengine waiza mashine za kupima BP na wauza dawa ndio wameset hata watoto waonekane na Hypertension
Niliwahi kupima sehemu 4 tofauti hospitals kubwq zote zilikuja na majibu tofauti
Lakini pia MaDaktari wengi huwahi kumuamzishia mtu medication kabla ya vipimo kama ECG
Kwangu mimi ninaiamini ECG zaidi ya hii mashine ya kuweka mkononi
Ukibahatika kusafiri kwenye hizi nchi kubwa zilizoendelea ukipima BP inakuja Normal “hii pia mimi mwenyewe ni shuhuda”
Pengine tungeanza kuchambua hizi mashine kabla ya kuRule out Hypertension ni JANGA
Vyakula,soda,chips,pombe,kutokua physical,natembea saa tatu kila siku, squats 250, pushups 50 na kegel za kutoshaKuna vijana wa kawaida tu mzee na bado Wana changamoto hii, je can we conclude the problem imesababishw na lifestyle issue?
Kama ARV’s ni lifetime, nashauri kabla ya kuanza medication fanya kipimo cha ECGInawezekana hizi machine zinaweza kuwa na errors nyuma yake. Lakini mkuu 17 years mtu akishapewa zile medication sindio huwa naskia ni lifetime huwezi kuacha.
Hivi wakuu hili suala lipo aje vijana normal wadogo pressure zinawapata Cha ajabu wengine wanatumia medication kabisa.
Karibu tuchangie mada kikaangoni.
Pamoja 🙏🏽Nimekupata mkuu unachokisema makes sense.
Kuna dogo ana miaka 17 tu wamemuanzishia medication lkn yupo normal, sio obese ni more genetic hypertension. Root cause ni nyingi sana mkuu