Hivi wazee wa Kihaya wana mtazamo gani kuhusu hawa mabinti

Ila inawezekana wanalisha na kulea wazazi, kitu ambacho kinalingana na wengineo wanaofanya ujambazi, upigaji serikalini nk
Hata kama wanapata kipato ila ukweli kuuza k sio kitu cha kujivunia
 
Hapa JF watu mnaongea mambo mengi ilimradi .

Nenda ufanye utafiti uwaulize hao wadada maswali yafuatayo

Wanatoka wapi?
Wao ni wahaya?
Wao ni wanyayangiro?

Wahaya huwa hawafanyi hiyo biashara .

Mimi nimekaa Bukoba mjini na vijijini

Hao wanatoka Muleba na wanaitwa Wanyayangiro .

Kwahiyo ukisema wahaya unakuwa upo wrong
 
Uhakika,mtu anatoka Ngara,Karagwe,Kyerwa,Mleba,Biharamulo mtu anasema kwamba ni Mhaya
 
Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu mara kadhaa napita chimbo kupata huduma sasa nakutana na hawa mabinti kutoka mkoani Kagera sio mmoja wala wawili ni wengi they don't give shit wanapenda kuongea lugha ya kwao very confident na wanachofanya.

Pointi yangu wazee wao kama Profesa Mukandala Bashiru, Profesa Tibaijuka na wazee wengine kutoka Kagera wana mtazamo gani kuhusu binti zao?

Hata ndugu zetu mliofunga ndoa na wanawake wa kihaya na nyie mna mtazamo gani je hili swala nyie haliwapi shida?

Mimi binafsi hawa mabinti wamefanya niwatazame wanawake wa kihaya kwa jicho la utofauti.
Sasa mwanangu BabaMorgan mbona kama unafeli? Kama unapata huduma na unafurahia si ukaushe tu!!
Maisha yana mengi na kila mtu anapitia yake. Kausha tu usiwasagie kunguni. Hao watu walikuwepo na lazima wawepo ndio maana unaenda kuponea huko.
 
Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu mara kadhaa napita chimbo kupata huduma sasa nakutana na hawa mabinti kutoka mkoani Kagera sio mmoja wala wawili ni wengi they don't give shit wanapenda kuongea lugha ya kwao very confident na wanachofanya.

Pointi yangu wazee wao kama Profesa Mukandala Bashiru, Profesa Tibaijuka na wazee wengine kutoka Kagera wana mtazamo gani kuhusu binti zao?

Hata ndugu zetu mliofunga ndoa na wanawake wa kihaya na nyie mna mtazamo gani je hili swala nyie haliwapi shida?

Mimi binafsi hawa mabinti wamefanya niwatazame wanawake wa kihaya kwa jicho la utofauti.
Wanyambo pia hupenda kujitambulisha kama ni wahaya, huenda ulikutana na wanyambo.
 
Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu mara kadhaa napita chimbo kupata huduma sasa nakutana na hawa mabinti kutoka mkoani Kagera sio mmoja wala wawili ni wengi they don't give shit wanapenda kuongea lugha ya kwao very confident na wanachofanya.

Pointi yangu wazee wao kama Profesa Mukandala Bashiru, Profesa Tibaijuka na wazee wengine kutoka Kagera wana mtazamo gani kuhusu binti zao?

Hata ndugu zetu mliofunga ndoa na wanawake wa kihaya na nyie mna mtazamo gani je hili swala nyie haliwapi shida?

Mimi binafsi hawa mabinti wamefanya niwatazame wanawake wa kihaya kwa jicho la utofauti.
Mkuu katoe sadaka kwenye nyumba yoyote ya ibada na ukirudi tena waheshimu na kuwapa thamani ya kipekee wanachokifanya ni kujitoa sadaka kwa wengi na kusadia usijiue na kuepuka na usaliti wa mademu wa uswahili na magonjwa pia. I salute you wauza papuchi aka "wahaya" wa tandika na temeke. Huduma yenu nimeikubali jioni nitakuja kama kawa
 
Hizi siku tatu kuna uchambuzi,upembuzi na udadavuzi wa makabila hapa JF.Naamini tumeandaa na wanyama wa kusindikizia tambiko.
 
.

Hao sio wahaya hakuna muhaya anafanya illegal business Kama Prostitute.

Tumeshaelezea Mara nyingi hili swala Mkuu .
Mazee tumejifunza kwao kufanya matusi wengine sisi tangu ilikuwa jero kimoja na kujua maana ya Katerero😁
Enzi hizo hakuna condom ukimaliza wanajiosha na dawa za kienyeji
 
Mazee tumejifunza kwao kufanya matusi wengine sisi tangu ilikuwa jero kimoja na kujua maana ya Katerero😁
Wewe mjinga ungesoma comment ungeelewa tumeelezea huko juu kuhusu kabila la wahaya Ila wewe mjinga unaendeleza ujinga
 
Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu mara kadhaa napita chimbo kupata huduma sasa nakutana na hawa mabinti kutoka mkoani Kagera sio mmoja wala wawili ni wengi they don't give shit wanapenda kuongea lugha ya kwao very confident na wanachofanya.

Pointi yangu wazee wao kama Profesa Mukandala Bashiru, Profesa Tibaijuka na wazee wengine kutoka Kagera wana mtazamo gani kuhusu binti zao?

Hata ndugu zetu mliofunga ndoa na wanawake wa kihaya na nyie mna mtazamo gani je hili swala nyie haliwapi shida?

Mimi binafsi hawa mabinti wamefanya niwatazame wanawake wa kihaya kwa jicho la utofauti.
Iko kwenye historia toka tupate uhuru, walitamka" tunaenda kwa wahaya" ! Service Provider
 
Back
Top Bottom