Hivi wazee wa Kihaya wana mtazamo gani kuhusu hawa mabinti

Hivi wazee wa Kihaya wana mtazamo gani kuhusu hawa mabinti

Nimejaribu kuwafafanulia hapa

IPO hivi wahaya huwa wanatoka Bukoba mjini na vijijini .

Ila kuna kabila wanahitwa "Wanyayangiro " hawa wanapatikana wilaya ya Muleba.

Hawa ndo wapo DSM wanafanya biashara ya ngono.

Na kule wanakotoka wanachangamoto ya hali ya hewa ambayo haisapoti kilimo wala ufugaji hivyo kupata chakula na maji inakuwa ni changamoto Sana .

Kwahiyo wakikwama katika Shule the only option wanayobaki nayo huwa ni kusambaa mikoani na visiwani kujiuza na kuuza bar .

Na hiyo Kazi huwa wanaanzia wakiwa huko huko kwao hasa siku za minada .


Kama una jicho la kutazama unaweza kuelewa kitu wale wanaanzaga Kama wauza bar wakichoka umri ukisogea wanahamia kimboka n.k


Je kwanini watu huwahita wahaya

-kwasababu wanazungumza lugha inayofanana na kihaya na baadhi ya tamaduni zinafanana Kama kucheza ngoma ,kula ndizi n.k


Kama umekaa Bukoba mjini au vijijini hakuna hiyo biashara ya ngono wala hao wanawake hawapo


Pale kagera kuna makabila yafuatayo

Wanyambo -
Wahaya
Waziba
Wanyayangiro
Wahangaza
Wasubi

Ufafanuzi

Wahaya
Wanyambo
Waziba
Wanyangiro

Hawa lugha zao 90% zinaendana Ila wametofautiana katika utamaduni


Na waangaza na wasubi -hawa pia lugha zao 90% wanafanana Ila wametofautiana kiutamaduni .


Wahaya -wanyambo -waziba -wanyayangiro baadhi ya mila zao zime link na waganda


Na waangaza na wasubi -baadhi ya mila zao zimelink na warundi na wanyarwanda.


Nafikiri ufafanuzi huu utasaidia kuondoa upotoshaji
Nakuelewa vilivyo kaka ,nimeishi huko ndiyo maana nasikitika nikiona dhana potofu iliyojaa vichwani mwa wengi .

Ahsante Daktari
 
Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu mara kadhaa napita chimbo kupata huduma sasa nakutana na hawa mabinti kutoka mkoani Kagera sio mmoja wala wawili ni wengi they don't give shit wanapenda kuongea lugha ya kwao very confident na wanachofanya.

Pointi yangu wazee wao kama Profesa Mukandala Bashiru, Profesa Tibaijuka na wazee wengine kutoka Kagera wana mtazamo gani kuhusu binti zao?

Hata ndugu zetu mliofunga ndoa na wanawake wa kihaya na nyie mna mtazamo gani je hili swala nyie haliwapi shida?

Mimi binafsi hawa mabinti wamefanya niwatazame wanawake wa kihaya kwa jicho la utofauti.
Hapa utakuwa una mtazamo usiokuwa sahihi sana. Kwamba mtu akiongea lugha ya kihaya tayari ni muhaya, akikwambia anatokea Kagera tayari ni muhaya, msubi au muhangaza? Lugha siyo njia ya kutambua mtu kwamba ni wa wapi. Hizi lugha zinafundishika na kuzungumzika. Mimi ni miongoni mwa waliojifunza lugha ya kihaya na kuizungumza ndani ya miezi 10 na kwasasa naweza sema ni muhaya popote sababu kwa angalau 70 au 85% naweza hiyo lugha isipokuwa wakiongea kile cha ndani kabisa. Nipo Kigoma lakini nikijitambulisha kwamba ni muhaya wanakubali sababu nazungumza lugha hiyo na wahaya wakati mimi ni mwana wa Halungu mbozi kwetu. Nikushauri ufanye tena kautafiti kako na utakuja na majibu ya unachokiwaza.

Mimi nimekaa Karatu kwa miaka 3, ukifika pale mitaa ya kuanzia NMB mpaka soko kuu shuka mpaka mitaa yote inayozunguka ile lounge inayowika hapo kati, pita kwenye lodges zilizopo nyuma ya hoteli mbili zilizopo hapo kati utawakuta mabinti wamejipanga na wanagonga lugha zao. Ukiwauliza wanakwambia wametoka meru, moshi, singida,n.k. Sasa jidanganye kwamba ni wa huko kumbe wametokea hapo hapo mbulu, karatu. Hivyo hivyomaeneo yote usije danganywa na lugha. Mpare popote alipo anajitanbulisha kwamba ni mchaga isipokuwa akiwa kwao, mnyiha popote alipo anajitambulisha ni mnyakyusa isipokuwa akiwa kwao. Hivyo hivyo kwa kabila lako tusilolijua, binti yako anajitambulisha ni kabila fulani.

Kuhusu mitazamo unaweza usipate kwa maana na wao watakuuliza wazazi wako wana mtazamo gani kwa kijana wao unayenunua malaya badala ya kuoa. Nilichojifunza nikiwa uhayani ni matabaka ya wahaya yaliyogawanyika kiwilaya n.k. kama ilivyo ruvuma. Ukimkuta Muhaya wa Bukoba au Misenyi tambua hayuko huko na ukimkuta basi elewa kwamba alishaharibu kwao labda kwa kubeba mimba bila ndoa au kuachika kwenye ndoa. Hao watu ukifanya hayo familia zinawakataa chap na ndiyo wanaenda kujiweka huko wewe ukimkuta unaona ni dili kumbe umejiweka na kupelekea nuksi nyumbani kwako.

Wanaotokea muleba hao wanafahamika pia na ndiyo waanzilishi wa kufukuza mabinti wanaochafua familia kutokana na kwamba mabinti wengi wanaenda visiwani kwenye sehemu za uvuvi na wakirudi ni tayari wanakuwa wameharibu, sasa ili usiendelee kuifedhehesha familia ndio hao wanakimbilia huko mnakowaona ni dili na hapo ndipo mchangiaji mmoja amesema wanyangiro sababu wanajua kilichopo na wapi wanafanya.

Ukitaka kujua kwamba wazee wa huko wanamtazamo gani fika kwao siku za sikukuu na uone namna wanavyowapokea binti zao ambao hawajaharibu kwao na hao wanaotoka huko unaowanunua. Utagundua kwamba anayejiuza huko ulipo familia inamgwaya si kwamba ni wanajua anachokifanya bali ni alishaharibu taswira ya familia.

Fika pia pale bukoba mjini kuna club za usiku kama 2 au 3 kuna mabinti wengi tu wanajiuza pembezoni mwa hizo club (zingatia huko hakuna madanguro kama ilivyo huko ulipo au huko majengo moshi) hapo waulize wametoka wapi utajua. Sikushangaa kumkuta mtoto wa shangazi anajiita muhaya na jina la kihaya wakati nyumbani ni forest mbeya. Alidisco chuo, kaibukia bukoba kujiuza kwa kujiita muhaya. Kwahiyo hilo la lugha, majina au kujitambulisha kusikujaze mtazamo wa kwamba hao wote ni wahaya bali fanya kautafiti ka kutambua undani wa wanapotoka.
 
Hapa JF watu mnaongea mambo mengi ilimradi .

Nenda ufanye utafiti uwaulize hao wadada maswali yafuatayo

Wanatoka wapi?
Wao ni wahaya?
Wao ni wanyayangiro?


Wahaya huwa hawafanyi hiyo biashara .

Mimi nimekaa Bukoba mjini na vijijini


Hao wanatoka Muleba na wanaitwa Wanyayangiro .


Kwahiyo ukisema wahaya unakuwa upo wrong
Umekosea wahaya wamegawanyika katika koo ambazo ziko Bukoba Mjini (abakoba) ,Bukoba vijijini( Abahamba) Kiziba- abahyoza ,, Muleba- wanyaiyangiro .Kwa ujumla wahaya wanapatikana wilaya za Bukoba mjini,Bukoba vijijini , Muleba na Misenyi kidogo sana:


Wilaya zilizobaki ni Ngara yenye kibila la wahangaza(warundi),,, Biharamulo (wahaya kidogo ,wasukuma na wasubi nk,,, Karagwe kuna wanyambo ambao ni mchanganyiko wanyankole na watusi( hawa wakiongea lugha yao inafanana kwa mbali.
 
Mkuu inawezekana kwa mfano wewe Baba yako alikuja Dar akiwa kijana mdogo akapata ajira akao Mzaliwi wewe na ndugu zako mkasoma Dar na kukulia Dar, Sasa ukapata kazi Arusha sasa watu wakikuuliza umetoka wapi si utawajibu umetokea Dar na utajulikana wewe ni Mzaramu, ndiyo hivyo ya hao Wanawake wanasema wametokea Kagera na inawezekana wasiwe wahaya.
Mnatetea nini umalaya hauna kabila
 
Mkuu hebu niambie mama Tibaijuka ni Muhaya au sio Muhaya? maana nawajua watoto wa kaka yake 2, An...t na T...a wanauza Ile mbaya...mbaya kabisa Wana ndugu zao wanatokaga Mikocheni kila ijumaa wanakuja kuuzia huku Tababa
Tibaijuka wa Mleba sio Mhaya
 
Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu mara kadhaa napita chimbo kupata huduma sasa nakutana na hawa mabinti kutoka mkoani Kagera sio mmoja wala wawili ni wengi they don't give shit wanapenda kuongea lugha ya kwao very confident na wanachofanya.

Pointi yangu wazee wao kama Profesa Mukandala Bashiru, Profesa Tibaijuka na wazee wengine kutoka Kagera wana mtazamo gani kuhusu binti zao?

Hata ndugu zetu mliofunga ndoa na wanawake wa kihaya na nyie mna mtazamo gani je hili swala nyie haliwapi shida?

Mimi binafsi hawa mabinti wamefanya niwatazame wanawake wa kihaya kwa jicho la utofauti.
Usihusishe wanayofanya wengine na hao uliowataja. Tuanze na wewe unamtazamo gani kuhusu hao mabinti na dada zako waaofanya sawa na hao mabinti? Wewe mwenyewe unajitazama namna gani au wazee wa kwenu wana mtazamo gani kuhusu wewe? Hujui hata hao mabinti wanakutazama kwa jicho la utofauti na kujiuliza wazazi wako wanakutazamaje?
 
Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu mara kadhaa napita chimbo kupata huduma sasa nakutana na hawa mabinti kutoka mkoani Kagera sio mmoja wala wawili ni wengi they don't give shit wanapenda kuongea lugha ya kwao very confident na wanachofanya.

Pointi yangu wazee wao kama Profesa Mukandala Bashiru, Profesa Tibaijuka na wazee wengine kutoka Kagera wana mtazamo gani kuhusu binti zao?

Hata ndugu zetu mliofunga ndoa na wanawake wa kihaya na nyie mna mtazamo gani je hili swala nyie haliwapi shida?

Mimi binafsi hawa mabinti wamefanya niwatazame wanawake wa kihaya kwa jicho la utofauti.
Una matatizo wewe. Ni kabila gani Tanzania ambalo wanawake hawajiuzi?
Unaishi wapi hapa mjini?
Ulianza kuwajua lini hao watu?
Mbona husemi hawa ndugu zake mpango wanauza MATIKITI?
 
Mbona sasa wanaonekana Wanawake wote wanajiuza Dar ni Wahaya tu na siyo Wamasai ?
Observation yako siyo ya kweli. Dar ina wanawake wanaojiuza kutoka kila kabisa na kila mkoa. Tofauti ni kuwa hawa wanaoitwa ''wahaya'' huwa na mtindo na aina yao ya kujiuza. Wanakuwa na vibanda vingi vidogo vidogo sehemu moja, na ikifika jioni wanasimama mlangoni kusubiri wateja. Wateja wengi huwa wanajua kinachoendelea na kawaida kunakuwa hakuna mazunguzo ya kutongozana au kupatana bei bali mteja anaingia ndani moja kwa moja, analipa shughuli inafanyika na anatoka. Yeye anakwenda tena mlangoni kusubiri mteja mwingine.
 
Nimejaribu kuwafafanulia hapa

IPO hivi wahaya huwa wanatoka Bukoba mjini na vijijini .

Ila kuna kabila wanahitwa "Wanyayangiro " hawa wanapatikana wilaya ya Muleba.

Hawa ndo wapo DSM wanafanya biashara ya ngono.

Na kule wanakotoka wanachangamoto ya hali ya hewa ambayo haisapoti kilimo wala ufugaji hivyo kupata chakula na maji inakuwa ni changamoto Sana .

Kwahiyo wakikwama katika Shule the only option wanayobaki nayo huwa ni kusambaa mikoani na visiwani kujiuza na kuuza bar .

Na hiyo Kazi huwa wanaanzia wakiwa huko huko kwao hasa siku za minada .


Kama una jicho la kutazama unaweza kuelewa kitu wale wanaanzaga Kama wauza bar wakichoka umri ukisogea wanahamia kimboka n.k


Je kwanini watu huwahita wahaya

-kwasababu wanazungumza lugha inayofanana na kihaya na baadhi ya tamaduni zinafanana Kama kucheza ngoma ,kula ndizi n.k


Kama umekaa Bukoba mjini au vijijini hakuna hiyo UKWELI KABISA
 
Back
Top Bottom