Hivi wazee wa Kihaya wana mtazamo gani kuhusu hawa mabinti

Hivi wazee wa Kihaya wana mtazamo gani kuhusu hawa mabinti

Observation yako siyo ya kweli. Dar ina wanawake wanaojiuza kutoka kila kabisa na kila mkoa. Tofauti ni kuwa hawa wanaoitwa ''wahaya'' huwa na mtindo na aina yao ya kujiuza. Wanakuwa na vibanda vingi vidogo vidogo sehemu moja, na ikifika jioni wanasimama mlangoni kusubiri wateja. Wateja wengi huwa wanajua kinachoendelea na kawaida kunakuwa hakuna mazunguzo ya kutongozana au kupatana bei bali mteja anaingia ndani moja kwa moja, analipa shughuli inafanyika na anatoka. Yeye anakwenda tena mlangoni kusubiri mteja mwingine.
upo vizuri mtaalamu kwenye CV yako usiache kutupia haka ka experience.
 
Hapa JF watu mnaongea mambo mengi ilimradi .

Nenda ufanye utafiti uwaulize hao wadada maswali yafuatayo

Wanatoka wapi?
Wao ni wahaya?
Wao ni wanyayangiro?


Wahaya huwa hawafanyi hiyo biashara .

Mimi nimekaa Bukoba mjini na vijijini


Hao wanatoka Muleba na wanaitwa Wanyayangiro .


Kwahiyo ukisema wahaya unakuwa upo wrong
Labda nitoke nje ya mada Dr Hayaland kwani Muhaya ni nani au anatoka sehemu gani za mkoa wa Kagera?
 
Unajitahidi kujitetea sana mkuu....haya jioni nitaenda Hapo Riverside nikawakague maongezi yao, sikuwa na nia leo ila acha niende nikawakague
😹😹😹😹 Waungwana mmegoma kukubali..!!
Oyaa lete feedback basi ilikuwaje ulivyofika? 🤣
 
Mkuu hebu niambie mama Tibaijuka ni Muhaya au sio Muhaya? maana nawajua watoto wa kaka yake 2, An...t na T...a wanauza Ile mbaya...mbaya kabisa Wana ndugu zao wanatokaga Mikocheni kila ijumaa wanakuja kuuzia huku Tababa
😹😹😹 Hao hata wenye PhD kazi ni moja hawawezi kutoa kwa mmoja na lazima muuziane..!!
 
Nimejaribu kuwafafanulia hapa

IPO hivi wahaya huwa wanatoka Bukoba mjini na vijijini .

Ila kuna kabila wanahitwa "Wanyayangiro " hawa wanapatikana wilaya ya Muleba.

Hawa ndo wapo DSM wanafanya biashara ya ngono.

Na kule wanakotoka wanachangamoto ya hali ya hewa ambayo haisapoti kilimo wala ufugaji hivyo kupata chakula na maji inakuwa ni changamoto Sana .

Kwahiyo wakikwama katika Shule the only option wanayobaki nayo huwa ni kusambaa mikoani na visiwani kujiuza na kuuza bar .

Na hiyo Kazi huwa wanaanzia wakiwa huko huko kwao hasa siku za minada .


Kama una jicho la kutazama unaweza kuelewa kitu wale wanaanzaga Kama wauza bar wakichoka umri ukisogea wanahamia kimboka n.k


Je kwanini watu huwahita wahaya

-kwasababu wanazungumza lugha inayofanana na kihaya na baadhi ya tamaduni zinafanana Kama kucheza ngoma ,kula ndizi n.k


Kama umekaa Bukoba mjini au vijijini hakuna hiyo biashara ya ngono wala hao wanawake hawapo


Pale kagera kuna makabila yafuatayo

Wanyambo -
Wahaya
Waziba
Wanyayangiro
Wahangaza
Wasubi

Ufafanuzi

Wahaya
Wanyambo
Waziba
Wanyangiro

Hawa lugha zao 90% zinaendana Ila wametofautiana katika utamaduni


Na waangaza na wasubi -hawa pia lugha zao 90% wanafanana Ila wametofautiana kiutamaduni .


Wahaya -wanyambo -waziba -wanyayangiro baadhi ya mila zao zime link na waganda


Na waangaza na wasubi -baadhi ya mila zao zimelink na warundi na wanyarwanda.


Nafikiri ufafanuzi huu utasaidia kuondoa upotoshaji
😹😹😹😹 meow 😸
 
Hata kama wanapata kipato ila ukweli kuuza k sio kitu cha kujivunia
Nenda Amsterdam, Holland kuna mitaa kwa Kiingereza inaitwa Red light. Mtaa maarufu kama Ruysdaelkade, Singel ujionee biashara ya ngono inavyofanywa. Alafu muulize Virgil Van Dijk, Micky Van de Van. Nk nk kama wanaona aibu Eti nchini mwao watu wanauza K. After all biashara ya K Yesu aliikuta ilimshinda kuimaliza mpaka anakufa. Na Makabila yote na Mataifa yote yanaifanya.
 
Hakika Mkuu inafikirisha Mkuu na wakifika DSM wanajiita Wahaya ili kutembelea upepo .

But in fact wahaya wanatoka Bukoba Mjini na Bukoba vijijini the rest ni Wanyayangiro , wanyambo , waziba , n.k
Unakijua Kijiji cha Buhaya Kiko Wilaya Gani? Maeneo yenye wahaya mkoa wa Kagera ni Muleba, Bukoba vijijini, Misenyi na Bukoba mjini. Katika hayo maeneo Kuna pia mwingiliano wa makabila mengine ya jirani.
 
Unakijua Kijiji cha Buhaya Kiko Wilaya Gani? Maeneo yenye wahaya mkoa wa Kagera ni Muleba, Bukoba vijijini, Misenyi na Bukoba mjini. Katika hayo maeneo Kuna pia mwingiliano wa makabila mengine ya jirani.
Ukikuta Dada anayetoka Bukoba mjini au Bukoba vijijini anajiuza nitfute nitakupa zawadi
 
''wahaya'' huwa na mtindo na aina yao ya kujiuza. Wanakuwa na vibanda vingi vidogo vidogo sehemu moja, na ikifika jioni wanasimama mlangoni kusubiri wateja. Wateja wengi huwa wanajua kinachoendelea na kawaida kunakuwa hakuna mazunguzo ya kutongozana au kupatana bei bali mteja anaingia ndani moja kwa moja, analipa shughuli inafanyika na anatoka. Yeye anakwenda tena mlangoni kusubiri mteja mwingine.
😹😹😹
 
Back
Top Bottom