LAPSE RATE
Senior Member
- Oct 18, 2015
- 119
- 147
Wako wengi, Kuna rafiki yangu alioa hapo bukoba mjini Maeneo ya karibu na Omumwani sec sijui ndo wanaita Nshambya. Waliachana na mkewe na by now yuko dar anauza hiyo kitu. Si kwa kuhadithiwa ni present and confirmed.Ukikuta Dada anayetoka Bukoba mjini au Bukoba vijijini anajiuza nitfute nitakupa zawadi