Hivi wazee wa Kihaya wana mtazamo gani kuhusu hawa mabinti

Hivi wazee wa Kihaya wana mtazamo gani kuhusu hawa mabinti

Brother sio muhaya kwa tafsiri ipi? Mtu katokea mkoa wa Kagera
Mkuu inawezekana kwa mfano wewe Baba yako alikuja Dar akiwa kijana mdogo akapata ajira akao Mzaliwi wewe na ndugu zako mkasoma Dar na kukulia Dar, Sasa ukapata kazi Arusha sasa watu wakikuuliza umetoka wapi si utawajibu umetokea Dar na utajulikana wewe ni Mzaramu, ndiyo hivyo ya hao Wanawake wanasema wametokea Kagera na inawezekana wasiwe wahaya.
 
Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu mara kadhaa napita chimbo kupata huduma sasa nakutana na hawa mabinti kutoka mkoani Kagera sio mmoja wala wawili ni wengi they don't give shit wanapenda kuongea lugha ya kwao very confident na wanachofanya.

Pointi yangu wazee wao kama Profesa Mukandala Bashiru, Profesa Tibaijuka na wazee wengine kutoka Kagera wana mtazamo gani kuhusu binti zao?

Hata ndugu zetu mliofunga ndoa na wanawake wa kihaya na nyie mna mtazamo gani je hili swala nyie haliwapi shida?

Mimi binafsi hawa mabinti wamefanya niwatazame wanawake wa kihaya kwa jicho la utofauti.
Hawajui kiswahili
 
Uhakika,mtu anatoka Ngara,Karagwe,Kyerwa,Mleba,Biharamulo mtu anasema kwamba ni Mhaya
Mkuu hebu niambie mama Tibaijuka ni Muhaya au sio Muhaya? maana nawajua watoto wa kaka yake 2, An...t na T...a wanauza Ile mbaya...mbaya kabisa Wana ndugu zao wanatokaga Mikocheni kila ijumaa wanakuja kuuzia huku Tababa
 
Eki nkishashya wa mawe nchoka DR HAYA LAND nipisi alisawa.
Nimejaribu kuwafafanulia hapa

IPO hivi wahaya huwa wanatoka Bukoba mjini na vijijini .

Ila kuna kabila wanahitwa "Wanyayangiro " hawa wanapatikana wilaya ya Muleba.

Hawa ndo wapo DSM wanafanya biashara ya ngono.

Na kule wanakotoka wanachangamoto ya hali ya hewa ambayo haisapoti kilimo wala ufugaji hivyo kupata chakula na maji inakuwa ni changamoto Sana .

Kwahiyo wakikwama katika Shule the only option wanayobaki nayo huwa ni kusambaa mikoani na visiwani kujiuza na kuuza bar .

Na hiyo Kazi huwa wanaanzia wakiwa huko huko kwao hasa siku za minada .


Kama una jicho la kutazama unaweza kuelewa kitu wale wanaanzaga Kama wauza bar wakichoka umri ukisogea wanahamia kimboka n.k


Je kwanini watu huwahita wahaya

-kwasababu wanazungumza lugha inayofanana na kihaya na baadhi ya tamaduni zinafanana Kama kucheza ngoma ,kula ndizi n.k


Kama umekaa Bukoba mjini au vijijini hakuna hiyo biashara ya ngono wala hao wanawake hawapo


Pale kagera kuna makabila yafuatayo

Wanyambo -
Wahaya
Waziba
Wanyayangiro
Wahangaza
Wasubi

Ufafanuzi

Wahaya
Wanyambo
Waziba
Wanyangiro

Hawa lugha zao 90% zinaendana Ila wametofautiana katika utamaduni


Na waangaza na wasubi -hawa pia lugha zao 90% wanafanana Ila wametofautiana kiutamaduni .


Wahaya -wanyambo -waziba -wanyayangiro baadhi ya mila zao zime link na waganda


Na waangaza na wasubi -baadhi ya mila zao zimelink na warundi na wanyarwanda.


Nafikiri ufafanuzi huu utasaidia kuondoa upotoshaji
 
Back
Top Bottom