Hivi wazee wa Kihaya wana mtazamo gani kuhusu hawa mabinti

Hana data kabisa, hata za mkoa wake hajui, binafsi nimeshutuka alipotaja eti wanyaiyangiro na waziba ni makabila.😥 Hata britanica encyclopedia haiwezi kukupa kitu hiki alichoandika katika Uzi huu.
Labda nitoke nje ya mada Dr Hayaland kwani Muhaya ni nani au anatoka sehemu gani za mkoa wa Kagera
 
Profesa Mkenda Mrombo huyu, anakuja vipi kwenye hiyo timu yako ya kina Bashiru au Tibaijuka? Mwongozo tafadhali.
Anaitwa mkandala na siyo mkenda..
Prof mkandala alikuwa makamu mkuu wa chuo kikuu cha dsm akifundisha political science, na mkenda amefanya naye kazi akifundisha economics hapo hapo udsm..
Prof mkandala n mhay na kwa sasa ana cheo pale udom
 
Wako wengi, Kuna rafiki yangu alioa hapo bukoba mjini Maeneo ya karibu na Omumwani sec sijui ndo wanaita Nshambya. Waliachana na mkewe na by now yuko dar anauza hiyo kitu. Si kwa kuhadithiwa ni present and confirmed.
Yes ni NSHAMBYA pale hahahaha, karibu na tawi la chuo cha OPEN UNIVERSITY
 
Wako wengi, Kuna rafiki yangu alioa hapo bukoba mjini Maeneo ya karibu na Omumwani sec sijui ndo wanaita Nshambya. Waliachana na mkewe na by now yuko dar anauza hiyo kitu. Si kwa kuhadithiwa ni present and confirmed.
So sad.. je walibahatika kupata mtoto pamoja??
 
Kumbe Dr alikuwa anatulisha tango pori 😂😂
 
Kuanzia kayanga, Omurushaka, kaisho, kibingo hadi Murongo, Wanyambo sio wengi kiasi Cha Malaya wengi kutoka kwao.

Hata ukiwachanganya na Wasubi, bado wachache sana
 
Mazee tumejifunza kwao kufanya matusi wengine sisi tangu ilikuwa jero kimoja na kujua maana ya Katerero😁
Enzi hizo hakuna condom ukimaliza wanajiosha na dawa za kienyeji
😂 Kumbe bei ilikuwa jero inaonekana ukiwa na elfu kumi unamiliki danguro
 
Kuanzia kayanga, Omurushaka, kaisho, kibingo hadi Murongo, Wanyambo sio wengi kiasi Cha Malaya wengi kutoka kwao.

Hata ukiwachanganya na Wasubi, bado wachache sana
Sijakuelewa kiongozi unataka kusema nini naona umetaja sehemu tu kidogo wanapokaa wanyambo labda nikuongezee sehemu nyingine waliko wanyambo.Kihanga,Rwambaizi,Nyaishozi,Bushangaro,Kamagambo,Nkwenda,Kyerwa na kuendelea ukitaka kujua kwamba wanyambo ni wengi na inawezekana tu kupata hiyo idadi kubwa nenda ukae Nkwenda siku moja ukikosa mwanamke wa kulala naye pale ujapenda.
 
Hii biashara hata akifanya mwingine tayari picha na mtizamo wa wengi wameona wanaofanya ni wahaya kwa Tanzania.

Dubai Waganda ndio wanajulikana kwa kujiuza, lakini kuna wakenya,Nigeria,Ghana,Gambia. Ukimkuta mpakistan,mhindi au mtu mwingine ambaye hajui mataifa ya Africa moja kwa moja anauliza unatoka Uganda, kwanini wanawake wa Uganda wanajiuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…