Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GENTAMYCIME siku hizi dish limeyumba ai umekuwaje? Mzee wa miaka 70s anapeleka moto kama kawa! Mengi alizaa akiwa above 75! Kwanza wazee wanaooa dogodogo wana ukwasi wa kumuwekea ulinzi mke wake! Atachepukaje? GENTAMYCIMEHivi kweli jamani kwa haya Maisha yetu ya Kiafrika ( hasa Kitanzania ) huku Wazee wetu nao wakiwa na Changamoto mbalimbali za Kiafya kutoka na Umri wao huo kwenda wanaweza kuwa na Uwezo wa Kumbebesha Mimba Mabinti wa miaka kati ya 25 hadi 35 na Kuzaa?
Je, hapa siyo kwamba hawa Wazee wetu wa kuanzia Miaka ya 70 Kiumri huwa Wanabambikiwa tu hizo Mimba na hao Watoto ila Ukweli ni kwamba huwa 'Wanachapiwa' tu na Madogo / Wajuba wenye Nguvu zao na Umri sahihi wa Kubandua Kisawasawa?
GENTAMYCINE nitakuwa wa mwisho Kuamini kuwa Mzee wa Umri wa kuanzia mwaka 70 anaweza / anauthubutu wa Kupandikiza Mbegu za Ujauzito kwa Binti wa kati ya Umri wa miaka 25 hadi 35 na Kuzaa ila niliambiwa kuwa huwa Wanachapiwa na Kubambikiwa hao Watoto nitakubali na kuamini kwa 100%
Haya karibuni rasmi katika Mjadala.
Kapigiwa mzee Madiba, na maisha yanaendeleaHoja yako aina akili ....kupigiwa ni kawaida tu uwe mzee au kijana ...pili kubambikiwa watoto kwa wazee siyo ishu kwao maana wanachukua wanawake hata wenye watoto na kuishinao na kuwalelea watoto ....tatizo lako wewe muuliza swali unadhani hisia za wazee na akili zao ni sawa na vijana ....kijana kulea mtoto wake meenyewe ni issue sembuse kulea mtoto asiye wake....ila kwa wazee ni tofauti wao kumlea mtoto hata asiye wake kwa mwanamke ni kawaida tu hivyo ukimzalia nje ya ndoa yeye kazi yake ni kulea tu mambo mengine hayana maana kwake
Kijana,kuna muda ukifika mnatutenga baba zenu,hamtutembelei wala kutupigia simu.Hivi kweli jamani kwa haya Maisha yetu ya Kiafrika ( hasa Kitanzania ) huku Wazee wetu nao wakiwa na Changamoto mbalimbali za Kiafya kutoka na Umri wao huo kwenda wanaweza kuwa na Uwezo wa Kumbebesha Mimba Mabinti wa miaka kati ya 25 hadi 35 na Kuzaa?
Je, hapa siyo kwamba hawa Wazee wetu wa kuanzia Miaka ya 70 Kiumri huwa Wanabambikiwa tu hizo Mimba na hao Watoto ila Ukweli ni kwamba huwa 'Wanachapiwa' tu na Madogo / Wajuba wenye Nguvu zao na Umri sahihi wa Kubandua Kisawasawa?
GENTAMYCINE nitakuwa wa mwisho Kuamini kuwa Mzee wa Umri wa kuanzia mwaka 70 anaweza / anauthubutu wa Kupandikiza Mbegu za Ujauzito kwa Binti wa kati ya Umri wa miaka 25 hadi 35 na Kuzaa ila niliambiwa kuwa huwa Wanachapiwa na Kubambikiwa hao Watoto nitakubali na kuamini kwa 100%
Haya karibuni rasmi katika Mjadala.
Alikuwa mchumba au mke?Genta mbona mambo madogo sana haya yanakupiga chenga! Hv kwann hujiulizi ilikuaje Maria alikua bikra na alikua mke wa Yusuph?
Wazee hua mahitaji yao ni tofauti na sisi Vijana
Baba yetu amefariki akiwa na umri wa miaka 80 alituachia mdogo wetu wa mwisho akiwa ananyonya na alikuwa copyright na Sisi ndugu zake kutoka mama wengine. Sasa usifikiri hizi changamoto ni kwa watu wote wazee wapo vizuri mno. Natamani niweke picha kama ushahidi lakini maadili yananizuia. Kuchapiwa hata vijana ndio mnachapiwa kuliko wazee. Aliyeamua kuolewa na mzee kaamua kuachana na tamaa ya ujana yupo na amekubaliana na mzee wake . Sasa Hao mnaowaita vijana mnakomaHili jambo ni la Sayansi ya kibaiolojia hutakiwi kuandika kihisia.
Kwanza ungeweka umri wa mwisho mwanaume kuweza kutungisha mimba.
Jee mtu Wa miaka 70 hawezi kutungisha mimba??
Rest in Peace Mzee Reginald Mengi.
Huende ndiyo Kiswahili gani na cha wapi hiki? Nikikuambia Wewe ni Kubwa Jinga la JamiiForums nzima unakataa. Fanculo ni Watu Wawili Waliokuzaa na siyo Mimi.Umeshawahi kunikuta najiliza Kwa moderator kwenye jukwaa la complain kama wewe zezeta?
Haya screenshot na hii huende ukalie Kwa Mods. Fanculo.
Mbona hata Wewe Upumbavu ulionao ndiyo Unakubeba na wala hushangai?Kiswahili ulicho tumia ni kibovu labda jina linakubeba
Hujarithi huo Ukiwembe wake?Mi Mzee wangu ana miaka 75 anawala sana mademu wa age ya 18 mpaka 40 na wanapagawa mno na tuna ndugu wengi sana ambao Mzee wetu amezaa uko nje
Mimi siyo hilo Parody la GENTAMYCIME bali naitwa GENTAMYCINE sawa? Nachoka saaa kila Siku tu kutoa Ufafanuzi Kwenu kuhusu hilo Parody.@
GENTAMYCIME siku hizi dish limeyumba ai umekuwaje? Mzee wa miaka 70s anapeleka moto kama kawa! Mengi alizaa akiwa above 75! Kwanza wazee wanaooa dogodogo wana ukwasi wa kumuwekea ulinzi mke wake! Atachepukaje? GENTAMYCIME