Hivi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anaweza kuonesha chochote cha kujivunia kwa kipindi ana mamlaka haya? Anayekiona atuoneshe!

P
Yapi maoni yako kuhusu DP World?
Au na wewe umeshalambishwa bahasha?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Karibu sana.
Kwanza nilianzia hapa, Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?

ikaja kuwaomba waheshimiwa wabunge wetu, kwenye kuridhia IGA ya DPW, watangulize mbele maslahi ya taifa Wabunge Wetu, Macho ya Watanzania Wote Leo ni Kwenu!. Maslahi ya Taifa Mbele!. Tuwaogope Kama Ukoma Muflis Hawa!, Kama Huwezi, ni Lazima Usaidiwe Tuu!.

Na baada ya Bunge letu Tukufu kuridhia mkataba huo bila kufanya due diligence yoyote kumhusu Mwarabu wa Dubai na hadhi ya mkataba wenyewe, kwanza nikasisitiza kuunga mkono hoja, Hakuna Ubaya Wowote kwa Mtu Yoyote, Taasisi Yoyote, Nchi Yoyote Kusaidiwa Pale Inaposhindwa, Muhimu ni Kuwa Makini Tusipigwe. Je DPW Tunapigwa?.

Kisha nikahoji uwezo wa Bunge letu na uwezo wa wabunge wetu kujadili jambo kubwa kama hili Bunge letu ni Bunge la ovyo? Bunge linafanya Uhuni? Wabunge Wetu ni Wahuni? Tumshauri Spika naye aanze kuita Watu kwenye Kamati, au waachwe tu? .

Pia nikatoa angalizo la maeneo yenye ukakasi ili HGA iwe imenyooka Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee! na kesho Jumapili, nitaandika makala kwenye gazeti la Nipashe kuhusu huu mkataba
P
 
Sijui kwanini wakazi wa Lindi uwa nawaona hawana maono...nime wakumbuka kadhaa ninaowafahamu personal na hawa viongozi watokeao huko.

Sidhani kama kuna mtu anapenda afanyie maisha Lindi...katika mikoa,huu wala watu sijawai sikia wakiutamani kwenda kikazi au harakati za kibiashara.
 
Nini PM, jee umemsikia mwanasheria yeyote pro government aki comments?. Maadam hili analisimamia Maza mwenyewe, sio vyema kila mtu ku comment.
P
Kwa level ya sasa mlitegemea PM awe advocate wa hili jambo ....hata TEC angeenda yeye ......hao 4 walioteuliwa wataweza kusaidia hili fupa gumu sana ? La sivyo mama Analo 2025 .....agenda hiyo mezani wapinzani uzanzibar.....muungano utatingishwa
 
Nini PM, jee umemsikia mwanasheria yeyote pro government aki comments?. Maadam hili analisimamia Maza mwenyewe, sio vyema kila mtu ku comment.
P
Nimekusoma mkuu,inapokuja urefu wa kamba ya Maza wengi tuna mute, kila mmoja kwa urefu wa kamba yake, hii imekaa poa sana.
 
Hakuna, hakuna, hakuna.

Tutamkumbuka kwa kutudanganya sana ikiwemo kutuambia Rais JPM yuko busy tena aliongea hayo akiwa kwenye nyumba ya ibada.
Thread 'Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?' Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Teknolojia aidanganyi, yaani hii clip ya Mhe. akiongea kwenye nyumba ya ibada nikiisikiliza nashindwa kumuelewa kabisa!

Your browser is not able to display this video.
 
Alinunua tiketi za mpira, Ally Kamwe na Ahmed Ally wanaweza kutoa ushuhuda.

Na akawekeza tena hela yake kwenye kampuni ya uuzaji trela za malori (jina kapuni)na kupiga marifuku kampuni za nje kuuza trela zao hapa nchini ili yeye auze zake.
 
Nafasi ya Uwaziri mkuu umekaa kiutendaji sio kiutawala Kwa Tanzania.

Hana la kusema, Hayo maamuzi ni azimio la baraza la mawaziri mkuu akiwa Madame President.
 
Mi namwomba akae kimya Wala asifungue mdomo wake

Hata VP nae naona Yuko kimya wake kimya tu waache wahuni wajitetee
Mpango angestahili kuwa na amsha amsha kama rigathi gachagua.. Huwa ana mback up ruto sana yule mzee... Na hata ujasiri wa ruto unatokana rig g . Kwa anayefuatilia siasa za Kenya atagundua hili
 
Mtendaji mkuu wa Serikali, anapokea maelekezo yote kwa aliyemteua, sifa zinarudi kwa aliyekupa kazi
 
Jibu sahihi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…