Hivi Waziri wa Fedha ana taarifa bei za vyakula hazishikiki huko masokoni?

Jerlamarel

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2021
Posts
843
Reaction score
2,525
Kama hana hiyo taarifa basi mfikishieni hizi taarifa.

Mchele kwa sasa low quality unaupata kwa 3000-3200, high quality unaenda mpaka 4000. Unga, maharage, dagaa, tambi, ngano zote zinazidi kupaa.

Wakati kama huu sasa ndiyo tulitakiwa tuone matumizi sahihi ya tozo, eneo la vyakula ni nyeti sana halipaswi kucheleweshewa kuchukua hatua.

Kipindi cha Magufuli hatukuona bidhaa zote zikipanda kwa mkupuo, sana sana mafuta ya kula tuu ndiyo yalikuwa yanaleta shida. Lakini sasa hadi unga ambao tunalima hapa nchini nao unatusumbua kucontrol bei?
Mfikishieni taarifa.
 
Hao ni baba karibu chakula mezani, sokoni awakujui
 
Jitahidin kudeal na mwenye mbwa badala ya mbwa.
 
Kama hana hiyo taarifa basi mfikishieni hizi taarifa.

Mchele kwa sasa low quality unaupata kwa 3000-3200, high quality unaenda mpaka 4000. Unga, maharage, dagaa, tambi, ngano zote zinazidi kupaa.

Wakati kama huu sasa ndiyo tulitakiwa tuone matumizi sahihi ya tozo, eneo la vyakula ni nyeti sana halipaswi kucheleweshewa kuchukua hatua.

Kipindi cha Magufuli hatukuona bidhaa zote zikipanda kwa mkupuo, sana sana mafuta ya kula tuu ndiyo yalikuwa yanaleta shida. Lakini sasa hadi unga ambao tunalima hapa nchini nao unatusumbua kucontrol bei?
Mfikishieni taarifa.
Kalime wewe uuze Bei inayoshikika shida iko wapi?
 
Ni ngumu sana yeye kujua! mwenye shibe hamjui mwenye njaa na huo ndio ukweli!
Pambana ki vyako ndugu!
 
haimuhusu yeye ana deal na kukamua wananchi tozo.
 
Kama hana hiyo taarifa basi mfikishieni hizi taarifa.

Mchele kwa sasa low quality unaupata kwa 3000-3200, high quality unaenda mpaka 4000. Unga, maharage, dagaa, tambi, ngano zote zinazidi kupaa.

Wakati kama huu sasa ndiyo tulitakiwa tuone matumizi sahihi ya tozo, eneo la vyakula ni nyeti sana halipaswi kucheleweshewa kuchukua hatua.

Kipindi cha Magufuli hatukuona bidhaa zote zikipanda kwa mkupuo, sana sana mafuta ya kula tuu ndiyo yalikuwa yanaleta shida. Lakini sasa hadi unga ambao tunalima hapa nchini nao unatusumbua kucontrol bei?
Mfikishieni taarifa.
Inaumiza sana.
Hii nchi wananchi wanalalamika lakini viongozi wako busy na ziara za ndani na nje ya nchi.

Mchele kg 1 tsh 2600 na hapo ndio kwanza sikukuuu hazijafika!
Kila kukicha wafanyabiashara wanapandisha bei kiholela.
Au wanafidia gharama za tozo?

Tozo ni wizi!
 
Back
Top Bottom