Jerlamarel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2021
- 843
- 2,525
Kalime wewe uuze Bei inayoshikika shida iko wapi?Kama hana hiyo taarifa basi mfikishieni hizi taarifa.Mfikishieni taarifa.
Mchele kwa sasa low quality unaupata kwa 3000-3200, high quality unaenda mpaka 4000. Unga, maharage, dagaa, tambi, ngano zote zinazidi kupaa.
Wakati kama huu sasa ndiyo tulitakiwa tuone matumizi sahihi ya tozo, eneo la vyakula ni nyeti sana halipaswi kucheleweshewa kuchukua hatua.
Kipindi cha Magufuli hatukuona bidhaa zote zikipanda kwa mkupuo, sana sana mafuta ya kula tuu ndiyo yalikuwa yanaleta shida. Lakini sasa hadi unga ambao tunalima hapa nchini nao unatusumbua kucontrol bei?
Inaumiza sana.Kama hana hiyo taarifa basi mfikishieni hizi taarifa.Mfikishieni taarifa.