Hivi wazungu kuzaa mtoto mweusi kama hii picha nn kinatokea??

Wachaga wengi wanatunza watoto WA baba zao Yale mambo ya kupeleka wake moshi loh...wakihisi mimba WANAOMUITA mtoto Aishi nae kwa mda gafla unashangaa mate YANATOKA kama udongo WA Mwamposa

Akizaliwa amefananaa na babuu
 
Omba isikutokeee sikia kwa watu
Yanitokee hayà lazima nkatoe.fungu la kumi la maumivu na sadaka ya kujimaliza akitoboa mwezi wangu huyo
 
Labda rangi nyeusi ni ulemavu mbona sisi blacks tunazaa weupe tunawabatiza albino tusiulizane inakuwaje weusi tupu kuzaa mtoto mweupe?
 
Watoto wa kike wa kizungu wanavyopenda blackmandingo ulijua haitawezekana kupatikana huyo mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…