kulagha nenga
JF-Expert Member
- Jan 1, 2026
- 690
- 1,375
Naamini IQ ya mtu inaweza kuongezeka ama kupungua tokana na mazingira.Mimi naamini mwafrika ni binadamu mwenye uwezo mdogo wa kufikiri.
Hayo mengine ni matokeo ya kuwa na uwezo mdogo wa kufikiria na kutatua changamoto hizo hasa zile kubwa kubwa.
Waafrika kwa ujumla wake wana aikyu ndogo, nafikiri sababu inayochangia kuwa na hali hiyo ni kwenye mazingira ambayo hayachochei watu kuwa wabunifu au kutumia akili nyingi.Naamini IQ ya mtu inaweza kuongezeka ama kupungua tokana na mazingira.
Ukiwa na mawazo haya utaitwa gaidi, wachokonozii, utaitwa mpinzani, utaitwa mpinga maendeleo1. Viongozi wakiafrika wanaiba Pesa kwao harafu wanaenda kuziweka kwenye mabenki ya ulaya na Marekani. Kichekesho nchi hizo hizo zinaenda kuomba mikopo huko.wanachofanya ni kutukopesha Pesa zetu zilizofichwa huko na viongozi wetu.
2. Rais wa inchi anaishi ulaya kwa kodi za wananchi wake nchini kwake kawaacha wananchi masikini wakutupwa. Mfano rais wa Cameron
3.Yaani Kuna nchi kiongozi wake anawaambia wapinzani wake hii ni nchi ni mali yangu na familia yangu kama na wewe unataka nenda msituni uje unipindue ndo nita kuachia. Na waananchi wanaona hiyo ni sawa TU.
4.Tunaomba misaada kwao huku viongozi wetu wanatembelea magari ya milioni mitano wakati huko tunakoomba misaada wao viongozi wao wanatembelea viji gari na baiskeli
5 . Tunawaopeleka wagonjwa India, Kwanini hao wahindi wasijenge hizo hospitali Africa. Wakaleta vifaa vyao na wakatuambukiza utaalamu wakatoa ajira kwa waafrika. Hivyo vifaaa vya matibabu Kwa nini tusivinunue nasisi tukawanavyo.Hivi hao wahindi wanatutaonaje. yaani wanatuchukuliaje
6.Miaka zaidi ya sitini Bado waafrika tunahangaikia chakula wakati wenzetu wanawaza kwenda anga za mbali. Shule hazina vyumba vya madarasa ya kutosha ,madawati na matundu ya vyoo .watoto wanakaa chini
7.Chaguzi ndo vituko usijeshangaa idadi ya kura inazidi idadi ya wapiga kura au watu wasijitiokeze kupiga kura na Bado kiongozi akatangazwa kashinda Kwa kishindo karibu asimlia zote au zote.
Mimi najiuliza wenzetu WA Rangi nyingine huwa wanatuonaje au wanatuchukuliaje ?
Misukule
Binadamu
Au sokwe waliochamka
Mazingira yetu yamechochea kwa kiasi kikubwa kuwa vilaza.Waafrika kwa ujumla wake wana aikyu ndogo, nafikiri sababu inayochangia kuwa na hali hiyo ni kwenye mazingira ambayo hayachochei watu kuwa wabunifu au kutumia akili nyingi.
Watu wana uhakika wa kula na kulala pasipo kutumia akili nyingi ndio maana kuna hali ya kuridhika na hali waliyonayo.
So yeah unachosema ni sahihi mazingira yana shape uwezo wa mtu na mazingira ya mwafrika yanam shape awe tabulalasa.
Tunafananishwa na nyani wa kila aina ili mradi tufanane nao kwa sababu ya tabia za viongozi wetu wapumbavu.1. Viongozi wakiafrika wanaiba Pesa kwao harafu wanaenda kuziweka kwenye mabenki ya ulaya na Marekani. Kichekesho nchi hizo hizo zinaenda kuomba mikopo huko.wanachofanya ni kutukopesha Pesa zetu zilizofichwa huko na viongozi wetu.
2. Rais wa inchi anaishi ulaya kwa kodi za wananchi wake nchini kwake kawaacha wananchi masikini wakutupwa. Mfano rais wa Cameron
3.Yaani Kuna nchi kiongozi wake anawaambia wapinzani wake hii ni nchi ni mali yangu na familia yangu kama na wewe unataka nenda msituni uje unipindue ndo nita kuachia. Na waananchi wanaona hiyo ni sawa TU.
4.Tunaomba misaada kwao huku viongozi wetu wanatembelea magari ya milioni mitano wakati huko tunakoomba misaada wao viongozi wao wanatembelea viji gari na baiskeli
5 . Tunawaopeleka wagonjwa India, Kwanini hao wahindi wasijenge hizo hospitali Africa. Wakaleta vifaa vyao na wakatuambukiza utaalamu wakatoa ajira kwa waafrika. Hivyo vifaaa vya matibabu Kwa nini tusivinunue nasisi tukawanavyo.Hivi hao wahindi wanatutaonaje. yaani wanatuchukuliaje
6.Miaka zaidi ya sitini Bado waafrika tunahangaikia chakula wakati wenzetu wanawaza kwenda anga za mbali. Shule hazina vyumba vya madarasa ya kutosha ,madawati na matundu ya vyoo .watoto wanakaa chini
7.Chaguzi ndo vituko usijeshangaa idadi ya kura inazidi idadi ya wapiga kura au watu wasijitiokeze kupiga kura na Bado kiongozi akatangazwa kashinda Kwa kishindo karibu asimlia zote au zote.
Mimi najiuliza wenzetu WA Rangi nyingine huwa wanatuonaje au wanatuchukuliaje ?
Misukule
Binadamu
Au sokwe waliochamka
BONGO MTU NJAA IKIMBANA ANAWEZA KUVIZIA HATA MISIBA YA WATU AKAPATA MSOSI. WAKATI WENZETU HAYO MAMBO HAYAPO LABDA KWA JAMII ZA WATU WENYE ASILI YA AFRIKA.Mazingira yetu yamechochea kwa kiasi kikubwa kuwa vilaza.
Wazungu wameishi kwenye barafu hali iliyowafanya wawe wabunifu sana kukabiliana na mazingira pamoja na kupigana vita
Wanatuona "ziro brain" zaidi ya zuzu.1. Viongozi wakiafrika wanaiba Pesa kwao harafu wanaenda kuziweka kwenye mabenki ya ulaya na Marekani. Kichekesho nchi hizo hizo zinaenda kuomba mikopo huko.wanachofanya ni kutukopesha Pesa zetu zilizofichwa huko na viongozi wetu.
2. Rais wa inchi anaishi ulaya kwa kodi za wananchi wake nchini kwake kawaacha wananchi masikini wakutupwa. Mfano rais wa Cameron
3.Yaani Kuna nchi kiongozi wake anawaambia wapinzani wake hii ni nchi ni mali yangu na familia yangu kama na wewe unataka nenda msituni uje unipindue ndo nita kuachia. Na waananchi wanaona hiyo ni sawa TU.
4.Tunaomba misaada kwao huku viongozi wetu wanatembelea magari ya milioni mitano wakati huko tunakoomba misaada wao viongozi wao wanatembelea viji gari na baiskeli
5 . Tunawaopeleka wagonjwa India, Kwanini hao wahindi wasijenge hizo hospitali Africa. Wakaleta vifaa vyao na wakatuambukiza utaalamu wakatoa ajira kwa waafrika. Hivyo vifaaa vya matibabu Kwa nini tusivinunue nasisi tukawanavyo.Hivi hao wahindi wanatutaonaje. yaani wanatuchukuliaje
6.Miaka zaidi ya sitini Bado waafrika tunahangaikia chakula wakati wenzetu wanawaza kwenda anga za mbali. Shule hazina vyumba vya madarasa ya kutosha ,madawati na matundu ya vyoo .watoto wanakaa chini
7.Chaguzi ndo vituko usijeshangaa idadi ya kura inazidi idadi ya wapiga kura au watu wasijitiokeze kupiga kura na Bado kiongozi akatangazwa kashinda Kwa kishindo karibu asimlia zote au zote.
Mimi najiuliza wenzetu WA Rangi nyingine huwa wanatuonaje au wanatuchukuliaje ?
Misukule
Binadamu
Au sokwe waliochamka
Picha lake ni kuwa pamoja na tiba hizo kuja kwetuBWANA MDOGO UYASEMAYO NI KWELI ILA NI HATUA TU, KADIRI TUNAVYOENDA MAMBO YANABORESHWA, UNAJUA KUNA MAGONJWA MAKUBWA AMBAYO ZAMANI ILIBIDI TWENDE INDIA TUNAMALIZA MUHIMBILI? MFANO FIGO, MOYO.HATA HAWO MAFISADI MIAKA 20 IJAYO KUTAKUWA NA KANUNI ZA KUWATIA PINGU, CHINA ILIPATA UHURU LINI VIPI LEO PICHA LAKE LIKOJE?
Raia wa ovyo waliopo barani Afrika ndiyo wanaozalisha viongozi wapumbavu.Tunafananishwa na nyani wa kila aina ili mradi tufanane nao kwa sababu ya tabia za viongozi wetu wapumbavu.