Hivi wazungu na Waasia huwa wanatuchukuliaje sisi waafrika.

Kwanini tusiitumue sayansi ya kusafiri kwa ungo kushangaza ulimwengu
Ukiangalia ubunifu wa meli, ndege, train na magari unaona namna wenzetu walivyotumia vizuri maarifa yao kumpunguzia changamoto za usafiri binadamu.
Waafrika tuna hiyo taaluma lakini Mainjia wa usafiri wa ungo hawataki kabisa kuweka hadharani maarifa hayo ili angalau nasi tupate cha kuchangia kwenye maendeleo ya Dunia.
 
Pia wazungu nao wamechangia kuwapindua na kuwaua viongozi wa Afrika waliothubutu kuendeleza/kuzipenda nchi zao. Hili ni kweli na lina ushahidi.
 
Tunafananishwa na nyani wa kila aina ili mradi tufanane nao kwa sababu ya tabia za viongozi wetu wapumbavu.
Wananchi wa kawaida hawana utimamu kiasi cha kuonekana wanajielewa kuwazidi hao viongozi unaowaita wapumbavu.

In fact Iq ndogo ya mwafrika ina cut accross every social class, haijailishi wewe ni kiongozi au siyo kiongozi wote wana uwezo mdogo wa kufikiria.
 
Wananchi wa ovyo waliopo barani Afrika ndiyo wanaozalisha viongozi wapumbavu.
Tungekuwa na akili kama binadamu wengine tusingekuwa na viongozi wezi wanaoficha pesa za wizi kwenye mabara mengine.
 
Hayo maswali unamwuliza nani!
 
Mimi naamini mwafrika ni binadamu mwenye uwezo mdogo wa kufikiri.

Hayo mengine ni matokeo ya kuwa na uwezo mdogo wa kufikiria na kutatua changamoto hizo hasa zile kubwa kubwa.

Naunga mkono hoja.
 
Tuwaombe wachina na wahindi wajenge viwanda vyao nchini Tanzania imezungukwa na nchi nyingi ambazo ni soko kubwa mfano tuzalishe pkpk guta boxer tvs nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…