Hivi wenzangu ujasiri wa kwenda gheto kwa mwanamke mnauotoa wapi?

Hivi wenzangu ujasiri wa kwenda gheto kwa mwanamke mnauotoa wapi?

Mara nyingi sana. First time nipo Chuo, Demu akanidanganya yupo single, nikaona buti za kiume, akasema za mdogo wake.

Nikala mzigo nikatoka kufata vocha, Akili ndio ikarudi. Nilisepa mazima nikaacha iPod touch yangu 64GB inaniuma hadi kesho.
😂 bora iende tu kuliko yangekukuta mengine ungepoteza kikubwa zaidi ya ipod.
 
Nishaenda sana kwa dem machimboni huko ila toka nilihadithiwa na rafiki’angu yaliyo mfika sina hamu ya kwenda kwa dem!

Rafiki’angu alienda kwa dem kumbe dem ana mshikaji wake mbaya zaidi hajampanga huyo jamaa’ake asije ye kapiga kimya tu.

Rafiki’angu kaenda getto kwa dem kajiachia mida ya saa 5 usiku anasikia jamaa nje anaita Ashura ashura nifungulie mlango wa mbele. Duh rafiki’angu akavaa faster huyo uvunguni mwa kitanda afu kimya mbaya!

Dem kaenda kamuamsha rafiki’ake chumba kingine akaja kulala kitandani ndipo dem kaenda kumfungulia jamaa’ake.
Mshikaji kufunua pazia kuna mtu dem akasema kwao kuna wageni kaomba alale humu, jamaa akageuza kurudi ajuako.

Rafiki’angu akaambiwa toka uvunguni huyu fala kaondondoka jamaa’angu ile kutoka aliomba afunguliwe mlango nae aondoke.
Dem kambembeleza we baki huyo hatorudi ila rafiki’aki akasema hata nikibaki ham sina ona athuman kichwa wazi kesha lala kuamka sio rahisi.
ikabidi dem amfungulie mlango huku amenuna rafiki’angu akasepa. Ndo akaja kijiweni kutuhadithia ilivyokuwa na mie nikasema kuanzia hiyo siku sitaki hata iweje!
Alooooo! Ila demu ali think fast kumwita huyo rafiki yake.
Jamaa angestick na huyo demu maana ni smart
 
Mimi nilienda kwa lengo la kumsalimia tu kama rafiki yangu. Waleti ilikuwa imejaa sana nikaona niweke pale mezani ili nikae vizuri. Yule mwanajeshi akaingia tamaa baada ya kuona kile kitita

Tukakaa weeee, saa 3 usiku muda wa yeye kwenda lindo ukafika. Nikaamka tutoke, ghafla akazima taa na kunirukia kifuani kama chui. Nikajikuta nasahau ushauri na tahadhari mnazotoaga
 
Back
Top Bottom