Hivi wenzangu ujasiri wa kwenda gheto kwa mwanamke mnauotoa wapi?

Hivi wenzangu ujasiri wa kwenda gheto kwa mwanamke mnauotoa wapi?

Mimi nilienda kwa lengo la kumsalimia tu kama rafiki yangu. Waleti ilikuwa imejaa sana nikaona niweke pale mezani ili nikae vizuri. Yule mwanajeshi akaingia tamaa baada ya kuona kile kitita

Tukakaa weeee, saa 3 usiku muda wa yeye kwenda lindo ukafika. Nikaamka tutoke, ghafla akazima taa na kunirukia kifuani kama chui. Nikajikuta nasahau ushauri na tahadhari mnazotoaga
Unajiskiaje mkubwa hivo kuandika uongo uongo😂😂😂 eti saa 3 Usiku muda wa yeye kuingia lindo" 😂😂😂 wewe ni bookkeeper tu hata wahasibu hawapo hivo😂
 
Nishaenda sana kwa dem machimboni huko ila toka nilihadithiwa na rafiki’angu yaliyo mfika sina hamu ya kwenda kwa dem!

Rafiki’angu alienda kwa dem kumbe dem ana mshikaji wake mbaya zaidi hajampanga huyo jamaa’ake asije ye kapiga kimya tu.

Rafiki’angu kaenda getto kwa dem kajiachia mida ya saa 5 usiku anasikia jamaa nje anaita Ashura ashura nifungulie mlango wa mbele. Duh rafiki’angu akavaa faster huyo uvunguni mwa kitanda afu kimya mbaya!

Dem kaenda kamuamsha rafiki’ake chumba kingine akaja kulala kitandani ndipo dem kaenda kumfungulia jamaa’ake.
Mshikaji kufunua pazia kuna mtu dem akasema kwao kuna wageni kaomba alale humu, jamaa akageuza kurudi ajuako.

Rafiki’angu akaambiwa toka uvunguni huyu fala kaondondoka jamaa’angu ile kutoka aliomba afunguliwe mlango nae aondoke.
Dem kambembeleza we baki huyo hatorudi ila rafiki’aki akasema hata nikibaki ham sina ona athuman kichwa wazi kesha lala kuamka sio rahisi.
ikabidi dem amfungulie mlango huku amenuna rafiki’angu akasepa. Ndo akaja kijiweni kutuhadithia ilivyokuwa na mie nikasema kuanzia hiyo siku sitaki hata iweje!
Angepigwa afe
 
Back
Top Bottom