Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Hizi mambo za kwenda mageto ya wanawake huwa zinafanywa na madogo wanaojitafuta. Mwanaume kamili hawezi kufanya ujinga huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sifanyi huo ujingaJitahid uje geto,wasela wangu wote wanaonilipia kodi wanasafiri
nimelia sanaSifanyi huo ujinga
Kinachokuliza nini?nimelia sana
uchungu rohoni wa kuchanwa ukwelKinachokuliza nini?
Maana hakuna mwanamke anaye kaa gheto halafu yuko single ...hapa tusidanganyane.
Pole sana ila ukweli humuweka mtu huru.uchungu rohoni wa kuchanwa ukwel
basi hata ungenong'oneza jamaniPole sana ila ukweli humuweka mtu huru.
Huo ni wivu wa kikeUnajiskiaje mkubwa hivo kuandika uongo uongo😂😂😂 eti saa 3 Usiku muda wa yeye kuingia lindo" 😂😂😂 wewe ni bookkeeper tu hata wahasibu hawapo hivo😂
SafiUnajiskiaje mkubwa hivo kuandika uongo uongo😂😂😂 eti saa 3 Usiku muda wa yeye kuingia lindo" 😂😂😂 wewe ni bookkeeper tu hata wahasibu hawapo hivo😂
lindo saa tatu ni chaiHuo ni wivu wa kike
Akili zingine shida tupu, lindo halina udhuru? Halafu aliyekuwa anaenda lindo ni yeye sio mimi, kwa hiyo it is not my business to know the accuracy of the informationlindo saa tatu ni chai
sawa mhasibu mla askariAkili zingine shida tupu, lindo halina udhuru? Halafu aliyekuwa anaenda lindo ni yeye sio mimi, kwa hiyo it is not my business to know the accuracy of the information
😂😂Acha uongo hovyoooo. Eti udhuru unafikiri lindo nikama zamu ya manesi. Unaenda tu utakuta mtu anakusubiri umpokeeAkili zingine shida tupu, lindo halina udhuru? Halafu aliyekuwa anaenda lindo ni yeye sio mimi, kwa hiyo it is not my business to know the accuracy of the information
Muongoo huyosawa mhasibu mla askari