Hivi wenzetu mnaowapanga wanaume au wanawake huwa mnawezaje

Mambo ya mchezo wa mapenzi sio ya kila mtu japo wengi wanaamini wameumbiwa.

Ukibutua mpira haimaanishi ndio unajua kuusakata kama wakina mayele.ndivo yalivyo mapenzi.

Unaweza ukakuta mtu kapanga wanawake hata kumi au wanaume Saba na hawajuani na kila mtu anajijua yupo peke yake lkn ww ndugu yangu mtu mmoja tu kumpanga Huawei.


Cha msingi tambua sio kila kitu ni kwa ajiri ya kila mtu. Wengine mkibaki kuwa watazamaji inatosha
 
Ukimwona mwanamke amepanga wanaume zaidi ya wawili jua huyo Ni Malaya aliyetukuka.
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…