Hivi wewe mwanamke (modern woman) unapata wapi nguvu ya kumuita mwanamke mwenzako malaya au hajatulia

🤣🤣🤣unapenda kuzurura tu na wewe si umtume boda akuletee chupa kiasi upendacho au mpaka ukaoshe macho huko kwenye maeneo elekezi.....uzuri wa kunywa home unapata na muda wa kulala halafu ukiamka unaendelea😁
Za home hazinogi sis bana, ujue pombe na kelele ni mapacha.! 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…