Hivi wewe ungekuwa ndugu wa mume wa mwanamke huyu ungejisikiaje

KIPUMPUSWA

Senior Member
Joined
Jul 16, 2011
Posts
106
Reaction score
35
Mumewe anaendelea kutumikia kifungo, yeye kalipiwa faini anafanya sherehe.
 

Attachments

  • DSC_0220.JPG
    36.6 KB · Views: 899
  • DSC_0224.JPG
    40.1 KB · Views: 801
  • DSC_0257.JPG
    34.1 KB · Views: 1,218
Mambo ya duniani haya, yaani we ulitaka abaki analia tu kisa mume yuko segerea
 
Kuna kipindi huwa namkubali sana Mwana FA na falsafa yake ya "bado yupo yupo sana tu".
 
Mume ndie alisababisha mke kuingia jela, hivyo ni haki yake kujipongeza kwa kuepuka mateso. Hata kama ndio kiapo kinasema kwa shida na raha lakini si kwa shida hii ya kujitakia!
 
Ulitaka wafanyaje! Chezea ndoa za mastaa wa Bongowood
 
Hili nalo neno

Hapo hakuna ndoa tena

Angetulia asifanye sherehe walau

Any way sijui ilikuwa aina gani ya ndoa, na pia ilipatikana vipi, na hata chanzo cha kesi mimi sijui, so lolote liwalo na liwe.
 
Mume ndie alisababisha mke kuingia jela, hivyo ni haki yake kujipongeza kwa kuepuka mateso. Hata kama ndio kiapo kinasema kwa shida na raha lakini si kwa shida hii ya kujitakia!
Alipokuwa anatumbua maraha hakujua ipo siku atalipa?
 
Naona kuna midume kabisa hapo imeshiriki kwenye hii ishu ya kimama mama. Kweli mjini watu kibao hawana kazi, heri ile sheria ya nguvu kazi irudishwe tu.
 
Siku zote uelewe kuwa mke sio ndugu yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…