KIPUMPUSWA
Senior Member
- Jul 16, 2011
- 106
- 35
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alipokuwa anatumbua maraha hakujua ipo siku atalipa?Mume ndie alisababisha mke kuingia jela, hivyo ni haki yake kujipongeza kwa kuepuka mateso. Hata kama ndio kiapo kinasema kwa shida na raha lakini si kwa shida hii ya kujitakia!
Aisee, avatar yako siipendi. Inanichefua sana. Mpaka nashindwa kuendelea kusoma michango ya watu wengine. Sorry lakini.Napita kimya mie mgeni wala siwajui!
Kila mtu abebe msalaba wake
Ndoa imeshakufa hiyo......
Mi mdomo wangu mchafu,sichangii ng'o!
Ndoa imeshakufa hiyo......
Ina nini Preta? I have something similar to the dudedah....we jamaa bana hii avatar yako.......