chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Dec 27, 2024 #1 Nimeenda nimerudi, hawa jamaa wapo, hawahamishwi, tofauti na mahakama za kawaida. Sijui kama Wizara wana utaalamu na mila za kuendesha mahakama kwamba hawa watu wa maamuzi hawatakiwi kuwa miaka 10 au 15 kituo kimoja
Nimeenda nimerudi, hawa jamaa wapo, hawahamishwi, tofauti na mahakama za kawaida. Sijui kama Wizara wana utaalamu na mila za kuendesha mahakama kwamba hawa watu wa maamuzi hawatakiwi kuwa miaka 10 au 15 kituo kimoja
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Dec 27, 2024 #2 chiembe said: Nimeenda nimerudi, hawa jamaa wapo, hawahamishwi, tofauti na mahakama za kawaida. Sijui kama Wizara wana utaalamu na mila za kuendesha mahakama kwamba hawa watu wa maamuzi hawatakiwi kuwa miaka 10 au 15 kituo kimoja Click to expand... Kwa nini unataka wahamishwe??
chiembe said: Nimeenda nimerudi, hawa jamaa wapo, hawahamishwi, tofauti na mahakama za kawaida. Sijui kama Wizara wana utaalamu na mila za kuendesha mahakama kwamba hawa watu wa maamuzi hawatakiwi kuwa miaka 10 au 15 kituo kimoja Click to expand... Kwa nini unataka wahamishwe??
Auto-Marvelt JF-Expert Member Joined Jul 13, 2019 Posts 1,653 Reaction score 3,336 Dec 27, 2024 #3 Ko umetumia sana yan Umeona wanafaidi yan
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Dec 27, 2024 Thread starter #4 Yoda said: Kwa nini unataka wahamishwe?? Click to expand... Haifai
Fortilo JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 5,807 Reaction score 17,416 Dec 27, 2024 #5 chiembe said: Nimeenda nimerudi, hawa jamaa wapo, hawahamishwi, tofauti na mahakama za kawaida. Sijui kama Wizara wana utaalamu na mila za kuendesha mahakama kwamba hawa watu wa maamuzi hawatakiwi kuwa miaka 10 au 15 kituo kimoja Click to expand... Simu moja tu😂
chiembe said: Nimeenda nimerudi, hawa jamaa wapo, hawahamishwi, tofauti na mahakama za kawaida. Sijui kama Wizara wana utaalamu na mila za kuendesha mahakama kwamba hawa watu wa maamuzi hawatakiwi kuwa miaka 10 au 15 kituo kimoja Click to expand... Simu moja tu😂
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 28, 2024 #6 Kawaida sana... Cc: Mahondaw
E eddy JF-Expert Member Joined Dec 26, 2007 Posts 16,054 Reaction score 11,568 Dec 28, 2024 #7 Yoda said: Kwa nini unataka wahamishwe?? Click to expand... takwa la kisheria