Von_Lufuta
JF-Expert Member
- Mar 19, 2023
- 1,528
- 3,641
Hiyo ndio full interview?Huyu mwehu anajua kama ujumbe huu anawafikishia watu wengi sana nchini? Asilimia kubwa ikiwa ni hawa mashabiki wa Yanga wanaopambania kuingia bure uwanjani kwa kukosa elfu tatu...