Hivi Yanga huwa mnawapa nini hawa vijana mara tu wanapojiunga nanyi?

Ilikuwa burudani kumsikiliza Ali Kamwe akichambua soka. Huwezi kufikilia kama angeweza kulinganisha watu na mandazi. Hawa kuna kitu wanapewa
 
Kuna dawa wanapewa si bure...

Ukijumliaha na ule mwiko ndio kabisa
 
Back
Top Bottom