Hahahaaa! Kabisa kabisa Mtani tuwage wapole tu kwa kweeli.Mtaniiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usiku wa Deni haukawii kukuchaaaaa.
Hebu tuwe wapoleeeeee.
Uso wako utauweka popote tu. 🤣🤣🤣Watu wamenipaniaaaa Yanga akirudi na Kombe.
Sijui ntaweka wapi uso wangu.
Hahahaa! Tusubiri tuone Mtani. Japo kama nakuona vile utakavyohaha. 😂😂Maana mtaani ni motooo, mtandaoni ndo balaaa.
USMA wafanye kuniokoa ktk hilii.
Huwezi kuzitofautisha Yanga , Simba na CCMHuyu mwehu anajua kama ujumbe huu anawafikishia watu wengi sana nchini? Asilimia kubwa ikiwa ni hawa mashabiki wa Yanga wanaopambania kuingia bure uwanjani kwa kukosa elfu tatu.
Wengine ni majeruhi hadi leo na wengine wamepoteza uhai kwa ajili ya Yanga yao halafu yeye anatoka mbele waziwazi na kutoa hizi kebehi, na utakuta mashabiki maandazi wanafurahia kauli hizi wakati yeye akitoka hapo Mbagala anapofanya shughuli za kumuingizia kipato cha kila siku anatakiwa arukie daladala ili afike Chamazi kwenda kupumzika na familia yake!
Nahisi kuna siri nzito imejificha hapa kati ya kuwa shabiki wa Yanga na kukosa akili timamu. Utamkuta mtu kazaliwa vizuri na wazazi wake na kapitia hatua zote za ukuaji vema kabisa, ila anapoanza tu kuingia hapo Yanga akili zinabadilika zinakuwa za ovyoovyo.
Ehhh Mungu wasamehe hawa watu, na uwakomboe kama ulivyomkomboa Feisal Salum maana akili zake zimekaa sawa sasa.
Walijulie wapi ndugu yangu wee. 😂😂Kumbe hata hawalijui
Binti alisanukaaa mapemaaa, yeye anajipinda kumpa maufundi mwenza, kumbe mwenzake ana copy anaenda kutoa kwa boss mdogo.Ndiyo maana na ule uchumba wake ulifia njiani,inawezekana binti alistuka akakimbia [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kweli USMA wafanye kunifurahisha ktk hilii.Ondoa shaka kabisa andaa tu na kinywaji chako,hao wanarudi na medali tu [emoji3][emoji3]
Mtaniiii nionee hurumaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaa! Kabisa kabisa Mtani tuwage wapole tu kwa kweeli.
Uso wako utauweka popote tu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaa! Tusubiri tuone Mtani. Japo kama nakuona vile utakavyohaha. [emoji23][emoji23]
HahahahaHuyu nae ko kupewa Gari na kuvuliwa ubingwa ndo anajiona wa maana sanaa?? Wenzake wanatafuta Daladala na ubingwa wanao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unasema???kwa hyo hana ubingwa bwana abiud shayoHuyu nae ko kupewa Gari na kuvuliwa ubingwa ndo anajiona wa maana sanaa?? Wenzake wanatafuta Daladala na ubingwa wanao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo sasa ndo dume,halifeki laifu.Chambuzi la mcheleView attachment 2643463
Hakuna tabu mbona huo ni utqni mdogo katika soka ..Anaringia utajiri wa mumewe
Tena mwanachama mtiifu na mzoefu.Hahahaha
Unataka kusema huyu dogo ni mwanachama wenu?
Rejea kauli ya Rage kuhusu hawa watu utapata hitimisho.Hii video ipo nusu kwa lengo la kumchafua mchizi.
Ni kama ile video ya Karia akiongea kuhusu ndege.
Hapo umekurupuka ndugu yangu,simple research ungefanya ungejua ukweli wote..
Hivi jina lake ni nani?Tena mwanachama mtiifu na mzoefu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ubingwa autoe wapii? Limbukeni km yeye?? Ubingwa wanakua nao ma gentlemen tyuuh.Unasema???kwa hyo hana ubingwa bwana abiud shayo
Privatusi shayo!! Ndo anajiita privadinho.Hivi jina lake ni nani?
Mie shabiki wa yanga ila hawa wapuuzi huwa hata siwafuatilii
Sawa mama shumbanaHUNA AKILI,
SASA ALIYEKULAZIMISHA UWEKE MWIKO NANI?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
TULIA ,GUGUMIA TARATIBU PAMBANA NA HALI YAKO...
HUNA AKILI