Chizi Maarifa JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 10,931 Reaction score 24,816 Jun 2, 2023 #81 king otaligamba said: Mara nyingi masikini anamuwazia majungu tajir wakati tajir hamuwazii masikini. Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app Click to expand... Tajiri ni nani? Maskini ni nani?
king otaligamba said: Mara nyingi masikini anamuwazia majungu tajir wakati tajir hamuwazii masikini. Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app Click to expand... Tajiri ni nani? Maskini ni nani?
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Jun 2, 2023 #82 Ilikuwa burudani kumsikiliza Ali Kamwe akichambua soka. Huwezi kufikilia kama angeweza kulinganisha watu na mandazi. Hawa kuna kitu wanapewa
Ilikuwa burudani kumsikiliza Ali Kamwe akichambua soka. Huwezi kufikilia kama angeweza kulinganisha watu na mandazi. Hawa kuna kitu wanapewa
F9T JF-Expert Member Joined Dec 26, 2015 Posts 2,677 Reaction score 4,959 Jun 2, 2023 #83 Smart AJ said: Hilo sasa ndo dume,halifeki laifu. Click to expand... Et dume. Hapo utakuta lipo Lina tweet " million 4 hazimtoshi Feisal"
Smart AJ said: Hilo sasa ndo dume,halifeki laifu. Click to expand... Et dume. Hapo utakuta lipo Lina tweet " million 4 hazimtoshi Feisal"
DullyJr JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 13,983 Reaction score 11,857 Jun 2, 2023 Thread starter #84 OKW BOBAN SUNZU said: Ilikuwa burudani kumsikiliza Ali Kamwe akichambua soka. Huwezi kufikilia kama angeweza kulinganisha watu na mandazi. Hawa kuna kitu wanapewa Click to expand... Kuna dawa wanapewa si bure... Ukijumliaha na ule mwiko ndio kabisa
OKW BOBAN SUNZU said: Ilikuwa burudani kumsikiliza Ali Kamwe akichambua soka. Huwezi kufikilia kama angeweza kulinganisha watu na mandazi. Hawa kuna kitu wanapewa Click to expand... Kuna dawa wanapewa si bure... Ukijumliaha na ule mwiko ndio kabisa