Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Tushageuzwa mazombie na kina johnthebaptistMzee swala la bandari unachukuwa VIP
Huyu kijna Ni mpuuzi wa kiwango Cha lamiTushageuzwa mazombie na kina johnthebaptist
Rejea kauli ya Rage utapata majibu sahihi.Documentary ya msimu ulipita.. sasa mwinyi zahera anaingiaje hapo
Rage ni kiongozi wa timu gani au msemaji wa yanga?Rejea kauli ya Rage utapata majibu sahihi.
Muadhui yanawapa shida Gongowazi. Swali mnakumbuka mlianzaje kujiita wananchi??Rejea kauli ya Rage utapata majibu sahihi.
Rage ndio mjanja waoRage ni kiongozi wa timu gani au msemaji wa yanga?
Bandari nini??Mzee swala la bandari unachukuwa VIP
Nimekupata kabisa.
🤣🤣Ashukuriwe Mwinyi Zahera. Mnakumbuka zama analipa mishahara ya wachezaji wenu?
Dokumentari nzima hayumo hata kwa sekunde tu.