Hivi Yanga mnakumbuka ilikuwaje mkaanza kujiita wananchi?

Hivi Yanga mnakumbuka ilikuwaje mkaanza kujiita wananchi?

Ungemuweka kwenye Dokomentari ya familia yako ingefaa zaidi.
 
Rejea kauli ya Rage utapata majibu sahihi.
Muadhui yanawapa shida Gongowazi. Swali mnakumbuka mlianzaje kujiita wananchi??

Ukipata jibu utaona jinsi Zahera alivyoingia kwenye hii mada.
 
Back
Top Bottom