Hivi Yanga unbeaten ya 20 hadi 40 mlikuwa wapi?

Kizibo255

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
515
Reaction score
376
Mara paaaap tunaambiwa Yanga Wana michezo 40 bila kufungwa kwenye michezo ya ndani.

Tumegeuziwa kibao Tena tunaambiwa ni kwa NBC premier league wakati huko nyuma walijumuisha ASFC

Bahati kwao wametukuta watanzania hatujambo kudaka Mambo kwa ushabiki. Naomba mwenye takwimu aweke tujiridhishe.

Nawasilisha
 
Kwan huu ni msimu wa ngapi kwa nbc kudhamini ligi yetu?

Msimu uliopita wa NBCPL mechi 30 alizocheza yanga hakufungwa

Msimu huu hajafungwa mech13 za mwanzo hivyo ukijumlisha zinakuwa 43, nisaidien hizo 6 ni za msimu gan?
Nasubiri majibu namimi hapa tumepigwaaa
 
Kwani huu ni msimu wa ngapi kwa NBC kudhamini ligi yetu?

Msimu uliopita wa NBCPL mechi 30 alizocheza yanga hakufungwa

Msimu huu hajafungwa mech 13 za mwanzo hivyo ukijumlisha zinakuwa 43, nisaidieni hizo 6 ni za msimu gani?

Si wanajumuisha na za ASFC,, kule walichukua ubingwa kabisa

Yaani kwa kifupi unbeaten inaruka ruka baadhi ya mechi na mashindano
Imejumuisha NBCPL na ASFC lakn imeruka kipigo cha Rivers Utd, kutiwa mimba na Zanaco ya Kapumbu siku ya Mwananchi, wakadonyolewa na Vipers, imeruka kuchaniwa chupi na Al Hilal

Updates:
Baada ya kikao kifupi kilichoongozwa na Injinia imeamuliwa Unbeaten bado ipo na inaendelea, ila haijumuishi mechi za kimataifa, za Mwananchi day, mechi zilizochezwa na zitakazochezwa mkoa wa Mbeya 😀
 
Mara paaaap tunaambiwa Yanga Wana michezo 40 bila kufungwa kwenye michezo ya ndani.

Tumegeuziwa kibao Tena tunaambiwa ni kwa NBC premier league wakati huko nyuma walijumuisha ASFC

Bahati kwao wametukuta watanzania hatujambo kudaka Mambo kwa ushabiki. Naomba mwenye takwimu aweke tujiridhishe.

Nawasilisha
Ni upuuzi na upayukaji tu si unajua watanzania wengi si wadadisi, hata ile ya mabingwa wa kihistoria ina tashwishwi sema tu Oya Oya mwana.

Ukiangalia washakanyagwa kombe la azam pale, walishakanyagwa mapinduzi zenj na washakanyagwa kimataifa kule kwa wanubi na kirafiki hapa kwa Mkapa ila wanapiga janja janja tu kukwepesha uhalisia. Maana ya unbearten ni iwe hujawahi kushindwa mechi yeyote ile katika mashindano yeyote yale.
 
Kwani huu ni msimu wa ngapi kwa NBC kudhamini ligi yetu?

Msimu uliopita wa NBCPL mechi 30 alizocheza yanga hakufungwa

Msimu huu hajafungwa mech 13 za mwanzo hivyo ukijumlisha zinakuwa 43, nisaidieni hizo 6 ni za msimu gani?
Mkuu mara ya mwisho Young Africans kupoteza mchezo ilikuwa ni tar 25/42020 walifungwa gori 1 na Azam, Tangu hapo hawakupoteza mchezo tena, hiyo ilikuwa round ya 28 msimu wa 2020/21. Takwimu zake ni kama ifuatavyo

1. Round ya 29 alicheza na Namungo tar 15/5 akatoka Sare ya 0-0,

2. Round ya 30 akacheza na Jkt Tanzania tar 19/5 akashinda 2-0

3. Round ya 31 akacheza na Ruvu shooting tar 17/6 akashinda 3-2,

4. Round ya 32 akacheza na Mwadui tar 20/6 akashinda 3-2

5. 3/7 Simba 0- Young Africans 1 gori la zawadi mauya( Hii game ilipangiwa hii tarehe baada ya kuhailishwa tarehe ambayo ilipangiwa kuchezwa ndo maana haijawa kwenye mtiririko wa round)

6. Round ya 33 akacheza na Ihefu tar 15/7 akashinda 2-0,

7. Round ya 34 akacheza na Dodoma jiji tar 18/7 wakatoka 0-0..

Generally, msimu wa 2020/21 baada ya kufungwa na Azam alicheza game 7 mbele bila kupoteza, msimu wa 21/22( NBC premier League) amecheza game 30 bila kupoteza na msimu huu 2022/23 amecheza game 12 bila kupoteza..7+30+12=49

NB
Ready to be corrected

Outcrop Rock( mwamba kipara)
 
5. Round ya 33 akacheza na Ihefu tar 15/7 akashinda 2-0,

6. Round ya 34 akacheza na Dodoma jiji tar 18/7 wakatoka 0-0..

Kuna hii game ya tar 3/7 Simba 0 Young Africans 1 nadhan viongozi walisahau kuiweka kwenye record kwasababu ilikuwa ni mechi ambayo ilisogezwa mbele Ila Yanga alishinda Kwa gori 1 la zawadi mauya

Hivyo basi Kwa mtazamo wangu YANGA ina unbeaten 50 na siyo 49 nadhani walikosea kuhesabu vizuri na katika hizo unbeaten 50 game 4 amepata Kwa Simba na siyo game Tatu kama inavyosemwa

Ya Kwanza ni ya gori la mauya iliyochezwa tar 3/7 ya pili na Tatu ni za msimu uliyopita ambazo zote zilikuwa Sare na ya NNE ni ya msimu huu round ya Kwanza ambayo nayo ni Sare iliyopatikana Kwa bao safi kabisa la kusawazisha la Mwamba Stephanie Aziz ki

WANANCHI WOTE PITENI HAPA NADHANI UNBEATEN ZENU NI 50 SIYO 49.

NB
Ready to be corrected

Outcrop Rock( mwamba kipara)
Brother umefikiri vizuri?kuhusu mechi ambayo zawadi mauya amewafunga gori simba!
 
Then kuna baadhi ya vitu nimeedit pitia vizuri mkuu kama kuna changamoto tuweke rekodi sawa Ila Kwa kumbukumbu zangu Mambo yalikuwa hivyo....Ready to be corrected
 
Brother umefikiri vizuri?kuhusu mechi ambayo zawadi mauya amewafunga gori simba!
Then kuna baadhi ya vitu nimeedit pitia vizuri mkuu kama kuna changamoto tuweke rekodi sawa Ila Kwa kumbukumbu zangu Mambo yalikuwa hivyo....Ready to be corrected
 
Si wanajumuisha na za ASFC,, kule walichukua ubingwa kabisa

Yaani kwa kifupi unbeaten inaruka ruka baadhi ya mechi na mashindano
Imejumuisha NBCPL na ASFC lakn imeruka kipigo cha Rivers Utd, kutiwa mimba na Zanaco ya Kapumbu siku ya Mwananchi, imeruka kuchaniwa chupi na Al Hilal
Kwa kifupi wewe hujui ata izo unbeaten uwa inahusisha michezo gani, yaani kama ni darasani mwalimu inabidi aanze Moja Ili darasa lisikuache nyuma.
 
Ni upuuzi na upayukaji tu si unajua watanzania wengi si wadadisi, hata ile ya mabingwa wa kihistoria ina tashwishwi sema tu Oya Oya mwana.

Ukiangalia washakanyagwa kombe la azam pale, walishakanyagwa mapinduzi zenj na washakanyagwa kimataifa kule kwa wanubi na kirafiki hapa kwa Mkapa ila wanapiga janja janja tu kukwepesha uhalisia. Maana ya unbearten ni iwe hujawahi kushindwa mechi yeyote ile katika mashindano yeyote yale.
Kwa akili zako ni kwamba 49 unbeaten ya Arsenal alichukua na UEFA.[emoji23][emoji23][emoji39]
 
Si wanajumuisha na za ASFC,, kule walichukua ubingwa kabisa

Yaani kwa kifupi unbeaten inaruka ruka baadhi ya mechi na mashindano
Imejumuisha NBCPL na ASFC lakn imeruka kipigo cha Rivers Utd, kutiwa mimba na Zanaco ya Kapumbu siku ya Mwananchi, imeruka kuchaniwa chupi na Al Hilal
Yaani wewe unajua record hizi kuliko TFF , CAF na La liga.

Nyambf
 
Mkuu mara ya mwisho Young Africans kupoteza mchezo ilikuwa ni tar 25/42020 walifungwa gori 1 na Azam, Tangu hapo hawakupoteza mchezo tena, hiyo ilikuwa round ya 28 msimu wa 2020/21. Takwimu zake ni kama ifuatavyo

1. Round ya 29 alicheza na Namungo tar 15/5 akatoka Sare ya 0-0,

2. Round ya 30 akacheza na Jkt Tanzania tar 19/5 akashinda 2-0

3. Round ya 31 akacheza na Ruvu shooting tar 17/6 akashinda 3-2,

4. Round ya 32 akacheza na Mwadui tar 20/6 akashinda 3-2

5. 3/7 Simba 0- Young Africans 1 gori la zawadi mauya( Hii game ilipangiwa hii tarehe baada ya kuhailishwa tarehe ambayo ilipangiwa kuchezwa ndo maana haijawa kwenye mtiririko wa round)

6. Round ya 33 akacheza na Ihefu tar 15/7 akashinda 2-0,

7. Round ya 34 akacheza na Dodoma jiji tar 18/7 wakatoka 0-0..

Generally, msimu wa 2020/21 baada ya kufungwa na Azam alicheza game 7 mbele bila kupoteza, msimu wa 21/22( NBC premier League) amecheza game 30 bila kupoteza na msimu huu 2022/23 amecheza game 12 bila kupoteza..7+30+12=49

NB
Ready to be corrected

Outcrop Rock( mwamba kipara)
Uzi huu ufungwe hapa hapa wapumbavu wote wanaropoka hapo juu umewajibu
 
Heshima yako mkuu, tatizo kuna watu huwa wanajikuta wajuaji Sana hata kwenye ukweli wanataka wapindishe, Young Africans wapewe heshima yake walichokifanya ni kikubwa, mtu anaebisha basi timu yake nayo ifanye hivyo ndo tutaisifia
 
Ni upuuzi na upayukaji tu si unajua watanzania wengi si wadadisi, hata ile ya mabingwa wa kihistoria ina tashwishwi sema tu Oya Oya mwana.

Ukiangalia washakanyagwa kombe la azam pale, walishakanyagwa mapinduzi zenj na washakanyagwa kimataifa kule kwa wanubi na kirafiki hapa kwa Mkapa ila wanapiga janja janja tu kukwepesha uhalisia. Maana ya unbearten ni iwe hujawahi kushindwa mechi yeyote ile katika mashindano yeyote yale.
Acha uongo, unbeaten huwa ina category zake, kwenye group stages za World cup Brazil ilikuwa na record ya kutopoteza mchezo tangu final za 2002 ndo imevunjwa Jana na Cameroon..so unbeaten inaweza ikawa ni ya ligi kuu tu, klabu bingwa tu, kombe la shirikisho tu au group stage tu ya michuano yoyote ile

Hata hiyo record ya Arsenal ya Unbeaten 49 ilikuwa ni ya ligi kuu tu, kwenye UEFA wala hawakufanya vizuri..Acha wivu
 
Si wanajumuisha na za ASFC,, kule walichukua ubingwa kabisa

Yaani kwa kifupi unbeaten inaruka ruka baadhi ya mechi na mashindano
Imejumuisha NBCPL na ASFC lakn imeruka kipigo cha Rivers Utd, kutiwa mimba na Zanaco ya Kapumbu siku ya Mwananchi, imeruka kuchaniwa chupi na Al Hilal
Samahani kwanza niku ulize una uelewa kuhusu football?
 
Back
Top Bottom