Hivi Yanga unbeaten ya 20 hadi 40 mlikuwa wapi?

Msimu huu hajafungwa mechi 13 za mwanzo hivyo ukijumlisha zinakuwa 43, nisaidieni hizo 6 ni za msimu gani?
Kuweka rekodi sawa, msimu huu hakufungwa mechi 12 sio 13, maana mechi ya 13 ilikuwa dhidi ya Ihefu na ndio ambayo Yanga aliyokuwa beaten. Labda kama zinahesabiwa na mechi za Zalan

Kuweka msisitizo, ninaweka kabisa msimamo wa ligi ili rekodi isije ikatiwa chumvi, na msimamo unaonyesha zimechezwa mechi 13 ikiwemo waliyopoteza dhidi ya Ihefu

 
Umetumia nguvu kuwaelisha wachawi. Nilivyosoma Comments za juu nikasema mjinga muache na ujinga wake.

Hongera mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani huu ni msimu wa ngapi kwa NBC kudhamini ligi yetu?

Msimu uliopita wa NBCPL mechi 30 alizocheza yanga hakufungwa

Msimu huu hajafungwa mech 13 za mwanzo hivyo ukijumlisha zinakuwa 43, nisaidieni hizo 6 ni za msimu gani?
Tushangae kwa pamoja
 
Umetumia nguvu kuwaelisha wachawi. Nilivyosoma Comments za juu nikasema mjinga muache na ujinga wake.

Hongera mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Umekosea kusema ametumia nguvu kuelimisha wachawi, ulipaswa ujibu kwa hoja

Kwanza nimpongeze aliyefafanua maana swali langu la msingi lilikuwa ni mechi saba zilikuwa za msimu upi, kiuweledi kabisa kaniambia kuwa ni maimu wa 20/21 tena akataja mpk mechi zenyewe

Wewe umwkuja kutukana, jifunze kujibu hoja lakin kongole zangu za dhati ziende kwa aliyenijibu kwa hoja
 
WATU WANAJIITA UNBEATEN.

WAMEPIGWA NA SIMBA KIGOMA.

WAMEPIGWA NA ZESCO.

WAMEPIGWA NA LIVER UNITED.

WAMEPIGWA NA ZANACO.

WAMEPIGWA NA AL HILALY OMDUMAN.

WAMEPIGWA NA IBENGE

SOMALIA NK
 
Soma comments za wenzako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WATU WANAJIITA UNBEATEN.

WAMEPIGWA NA SIMBA KIGOMA.

WAMEPIGWA NA ZESCO.

WAMEPIGWA NA LIVER UNITED.

WAMEPIGWA NA ZANACO.

WAMEPIGWA NA AL HILALY OMDUMAN.

WAMEPIGWA NA IBENGE

SOMALIA NK
Kuna siku Nilikuwa napembua mashabiki nikakuorodhesha lakini Mtu mmoja akanambia Huyo ni Mshangiliaji siyo shabiki. Leo nimeamini, yaani hata kinachoongelewa hujui Ila umelipuka tu.
 
Na huenda hii ndio ikawaudhi Ihefu.
 
Generally, msimu wa 2020/21 baada ya kufungwa na Azam alicheza game 7 mbele bila kupoteza, msimu wa 21/22( NBC premier League) amecheza game 30 bila kupoteza na msimu huu 2022/23 amecheza game 12 bila kupoteza..7+30+12=49

Kama Kuna wakupinga basi apinge haya maelezo ya Outcrop Rock Ameeleza vizuri sana hapa .

Kama Kuna takwimu tofauti na hizi basi uzi uendelee, Ila kama hakuna uzi ufungwe hoja hujibiwa Kwa hoja .
 
WOTE MLIO NIONA MJINGA.

UNBEATEN NI JUMLA YA MICHEZO YOTE ULIYOCHEZA BILA KUPOTEZA NDANI YA KIPINDI FLAN.

UNBEATEN YA ARSENAL ILIKUWA.

Bakrays/ EPL LEAGUE.
UEFA.
FA.
CARABAO CUP.


SIO MICHEZO YA LIGI EPL TU.
FICHENI UJINGA.
 
WOTE MLIO NIONA MJINGA.

UNBEATEN NI JUMLA YA MICHEZO YOTE ULIYOCHEZA BILA KUPOTEZA NDANI YA KIPINDI FLAN.

UNBEATEN YA ARSENAL ILIKUWA.

Bakrays/ EPL LEAGUE.
UEFA.
FA.
CARABAO CUP.


SIO MICHEZO YA LIGI EPL TU.
FICHENI UJINGA.
Acha uongo huo msimu Arsenal anaenda unbeaten game 49 kwenye UEFA aliishia robo final alipigwa na Chelsea goli 2-1 baada ya kutoka Sare ya 0-0 darajani, Unbeaten Yao Arsenal walifungwa na Man u ya Sir Alex Ferguson bao mbili, tena Arsenal walikuwa washaprint t-shirt za kufikisha unbeaten 50 unluckily hawakufanikiwa...

So unbeaten run ya arsenal ya game 49 ilihusisha game za ligi tu

Ready to be corrected
Outcrop Rock (Mwamba Kipara)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…