Mkuu mara ya mwisho Young Africans kupoteza mchezo ilikuwa ni tar 25/42020 walifungwa gori 1 na Azam, Tangu hapo hawakupoteza mchezo tena, hiyo ilikuwa round ya 28 msimu wa 2020/21. Takwimu zake ni kama ifuatavyo
1. Round ya 29 alicheza na Namungo tar 15/5 akatoka Sare ya 0-0,
2. Round ya 30 akacheza na Jkt Tanzania tar 19/5 akashinda 2-0
3. Round ya 31 akacheza na Ruvu shooting tar 17/6 akashinda 3-2,
4. Round ya 32 akacheza na Mwadui tar 20/6 akashinda 3-2
5. 3/7 Simba 0- Young Africans 1 gori la zawadi mauya( Hii game ilipangiwa hii tarehe baada ya kuhailishwa tarehe ambayo ilipangiwa kuchezwa ndo maana haijawa kwenye mtiririko wa round)
6. Round ya 33 akacheza na Ihefu tar 15/7 akashinda 2-0,
7. Round ya 34 akacheza na Dodoma jiji tar 18/7 wakatoka 0-0..
Generally, msimu wa 2020/21 baada ya kufungwa na Azam alicheza game 7 mbele bila kupoteza, msimu wa 21/22( NBC premier League) amecheza game 30 bila kupoteza na msimu huu 2022/23 amecheza game 12 bila kupoteza..7+30+12=49
NB
Ready to be corrected
Outcrop Rock( mwamba kipara)