Wazanziba wanaafiki ubara 90%. Hizo za stahiki wabara wata'aply the same' then, wao ndo watalalamika. Tunao huku wanadai kwamba bara tuna roho mbaya hususan viongoz nd mana maish magum sana. Wanaona huu uzanziba ni utakatif, Zanzibar kuna shida ya kimtazamo.
Mkuu mbona wao ndio wanalolidai hilo? au hujui kama wanadai muungano wa mkataba au wa serekali tatu? wabara ndio wanaositasita kwenye kutekeleza.