Wazanziba wanaafiki ubara 90%. Hizo za stahiki wabara wata'aply the same' then, wao ndo watalalamika. Tunao huku wanadai kwamba bara tuna roho mbaya hususan viongoz nd mana maish magum sana. Wanaona huu uzanziba ni utakatif, Zanzibar kuna shida ya kimtazamo.
Yaani katika wale Mamwinyi waliobaki hawataki kabisa Muungano ni huyo dos.2020
hapo ana maana Watanganyika wakifika huko Visiwani wasipewe kabisa uongozi katika Serikali ya Visiwani, mapinduzi hayatambui sembuse upewe Ardhi
ukija suala la Bara wanaita Tanganyika wao wapewe kila kitu 100% na kusiwe na mchujo wowote kila mtu ajitwalie chochote hata wa kutoka Rwanda, Burundi na Kenya
Hawa wakippewa nafasi ya kupenya kwa Mama Samia wanaweza kuuvunja Muungano namuombea miaka Mama Samia atamaliza hili ombwe la Mamwinyi wanaotaka kuturudisha nyuma kwani wanaweza vunja Muungano mikononi mwake
Acha roho mbaya..mi nazidi tu kukwambia acheni kula urojo na hizo pweza..ndio mana hamna akili..nyie mkija bara mpewe kila kitu bure bila masharti ila mbara akija visiwani apewe masharti rukuki..sasa kuna haja gani ya muungano..mi naona muungano usiwepo au kama uwepo zanzibar iwe mkoa tu wala sio kijinchi uchwara kenye raia wapauuzi kama huyu jamaa...unafedhesha sana Tanzania yetu.
Ndio mana sasa kauli mbiu ni kuzalisha dadazenu wote huko..na kukalia kila kitu mpka ujinga uwatoke..narudia acheni kulia lia pelekeni watoto shule..madrasa haziwezi wapa mnachokitaka duniani..mifumo ya kielimu ya kidunia ndio itakayo wapa ajira mnakokutaka..tofauti na hapo mtaendelea kulialia na kuleta ubaguzi wakijinga kwa ukosefu wenu wa elimu.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wanachochewa na muarabu. Mlatende bado anakitaka kisiwa kile. Muungano ukivunjika leo basi kesho muarabu anarudi kutawala pale.
Wabara kupewa stahiki za kiraia unamaanisha nini?
Stahiki zipi unaongelea hapa
Hapo mkuu ukimwaga mboga namwaga ugali. Ukifanya znz free port na huku DSM inafanywa free port unafikiri nani ataumia?
Mnadeka sana nyinyi viumbe! Mnabebwa, lakini hambebeki!
Ni wakati wenu sasa kupata hizo haki zenu zote mnazo lalamikia! Rais wa Tanganyika ni Mzanzibar mwenzenu. Hatutarajii kuendelea kuwasikia mkilalwmika kila siku.
Ikiwezekana basi jitengeni tu ili malalamiko yenu yakome! Maana Tanganyika inajitosheleza kwa kila kitu! Hatumtegemei yeyote yule! Hata Mabeberu wenyewe wanalitambua hilo.
Zanzibar ni ya waafrika waarabu warudi kwao Oman walikuja na boti historia inaonyesha kabisa.. Hao ni wafanya biashara ya utumwa
Eeenh Heee,-Naomba hii Post yangu iwe ni kumbukizi pindi siku ikifika Mchwa wakitangaza kua ZANZIBAR ni Wilaya yao Rasmi!!!!!
Tunabebwa na nani?Mnadeka sana nyinyi viumbe! Mnabebwa, lakini hambebeki!
"Bulwa"? Ni wapi huko mkuu, nami natafuta niungane na wapemba hao.Huku Bulwa kuna Wapemba wengi ndiyo wenye maduka na wanalima iliki, wala sisi hatuoni shida yeyote.
Na baba yenu Tanganyika! Kuna mwingine anaye wabeba zaidi ya Tanganyika? Na ndiyo maana muda wote nyinyi ni kulalamika tu na kudeka!Tunabebwa na nani?
Mkuu sikulaumu. hauijui historia ya TANZANIA na Tanganyika. NANI ANMBEBA MWEZIWE?Na baba yenu Tanganyika! Kuna mwingine anaye wabeba zaidi ya Tanganyika? Na ndiyo maana muda wote nyinyi ni kulalamika tu na kudeka!
Hawa jamaa bora wapewe tu huo uhuru wanao utaka ili na sisi tupumue! Yaani wanao tunafaidi kweli na huu Muungano!Eeenh Heee,
WaTanganyika sasa wamekuwa mchwa!
Nimekusoma kwa makini sana.
Tatizo moja ambalo huwa mnakuwa nalo ni hizi lugha za kupindapinda/kuzungukazunguka. Kwa nini mnakosa ujasiri wa kusema jambo moja kwa moja mkaeleweka?
Matokeo yake inakuwa kuifanya mada ndefu na kupoteza lengo na wasomaji wasiokuwa makini.
Sema, bila kupepesa macho, wala kutikisa masikio: Zanzibar iwe taifa HURU, kama ilivyo Comoro kwa mfano, au Shelisheli. Kwani ukisema hivyo kuna mtu atakuja kukuteka nyumbani kwako?
Kwa kifupi, nitakuacha na wazo hilo kwa sasa, hayo mengine ya Uafrica au Uarabu tutayatafutia wakati.
Kwa hiyo Zanzibar ndiyo inaibeba Tanganyika! 🤔 Basi nitakuwa kweli siifahamu Historia ya Tanzania.Mkuu sikulaumu. hauijui historia ya TANZANIA na Tanganyika. NANI ANMBEBA MWEZIWE?
Mkuu inaweza kuwa kweli, ila wasisahau kwanza uwiano wa eneo na uwiano wa idadi ya watu katika kufanya hiyo sensa. Vingine ni ujinga kulinganisha tembo na panya. Ila hayo ni maoni yangu tuTungefanya sensa hata kesho ya kutambua idadi ya Wazanzibar walioko Bara na ile idadi ya Watanganyika walioko huko Zanzibar, ni lazima Wazanzibari walio lowea Bara watazidi mara dufu!
Sasa nimeanza kuwa na fikra tofauti kidogo juu ya huu muungano wetu na fikra nilizokuwa nazo hapo siku za nyuma.Hawa jamaa bora wapewe tu huo uhuru wanao utaka ili na sisi tupumue! Yaani wanao tunafaidi kweli na huu Muungano!
Tungefanya sensa hata kesho ya kutambua idadi ya Wazanzibar walioko Bara na ile idadi ya Watanganyika walioko huko Zanzibar, ni lazima Wazanzibari walio lowea Bara watazidi mara dufu!
Lakini bado ni kulalamika tu! Yaani wenyewe wako milioni mbili kasoro, lakini wanataka mgao sawa dhidi ya watu zaidi ya milioni 50 wa Bara! Wakipewa mgao kulingana na idadi yao, wananuna! 🥵
Rais wangu Mama Samia Suluhu Hassan ana kazi kweli kweli, angalieni Muungano msije uvunjia mikononi mwake, maana katokea Visiwani na bado tunampenda hata atawale mpaka basi ili tu mridhike.Punguza jazba mkuu, kila mtu ana haki kusimama na anachokiamini. hivi wewe unahisi ni haki mburundi au mganda kupewa uongozi ndani ya serekali ya TZ?