Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,737
Ndo maana hukusoma ; mlifundishwa kitaambo sana kuwa ''Binadamu wote ni sawa na Africa ni Moja'' mka kariri weee!! mkaelewa sasa Africa inaungana nyie hamtaki tena?? tutawapiga mpaka akili ziwakae sawa subiri !!!!!Hahah Mtanganyika katika ubora wake
Zanzibar ni nchi kamili, nyie kama mmeitoa sadaka Tanganyika huo ni ujinga wenuUkiwekwa ndani kama mashehe wa uamsho unakuja kulalamika hapa hakuna ushahidi. Endelea kuchochea chuki unachokitafuta utakipata
Huo ni uwongo wa wazi kabisa, mtu wa Kigoma anapata tabu kupata haki za msingi kisa wakimbizi wale wa Burundi, leo unatuambia binadamu wote sawa uwongo mtupu, Zanzibar ni nchi inayo haki ya kujisimamiaNdo maana hukusoma ; mlifundishwa kitaambo sana kuwa ''Binadamu wote ni sawa na Africa ni Moja'' mka kariri weee!! mkaelewa sasa Africa inaungana nyie hamtaki tena?? tutawapiga mpaka akili ziwakae sawa subiri !!!!!
Acha wivu mtu kulinda maslahi ya nchi yake ni ubaguzi?Zanzibar ni nchi nyie Wadanganyika mmeitoa sadaka nchi yenu kwa ujinga wenuUbaguzi wa dini na rangi kwa Wazinzibar ni chanda na pete. Usikute umeandika uzi ukiwa bara, na hakuna anayekubagua kisa wewe ni Mzanzibar. Kingine muingiliano wa watu hauwezi kuzuilika kwenye dunia ya leo, wewe ni nani mpaka utake kujitenga na dunia?
Zanzibar ni yetu sote, as long as wewe ni mTanzania.
Hutaki hilo, jinyonge, maana hakuna namna ingine.
Mwingiliano uwepo, ila tunatoaaa angalizo mamluki hawaitajiki kwenye nafasi za maamuziBaadhi Wazanzibari wanaendekeza ukabila, kama alivyosema Mwalimu nje ya Muungano hakuna Wazanzibari, Kuna Wapemba, Waunguja nk.
Sijui mtoa mada anataka kwamba Zanzibar wajifungie tu peke yao na kusiwe na mwingiliano na watu wengine?
Je Mzanzibari ni nani? Ni Jamshid bin Abdulla au Amani Karume? Au wote?
Mbona Tamganyika imefutwa na Watanganyika hawalalamiki? Mbona kuna Rais wa JMT kutoka Unguja na mambo yapo vizuri tu?
Daini nchi yenu sasa, kama mnahisi imepokwa mamlaka na Tanzania bara. Lakini hatutaki ubaguzi wenu ilhali hakuna anayewabagua huku Tz bara.Acha wivu mtu kulinda maslahi ya nchi yake ni ubaguzi?Zanzibar ni nchi nyie Wadanganyika mmeitoa sadaka nchi yenu kwa ujinga wenu
weee mburundi hapati shida Tanzania wewe hee chunguza wamejaa huko MUsoma mwanza yelewiiiiHuo ni uwongo wa wazi kabisa, mtu wa Kigoma anapata tabu kupata haki za msingi kisa wakimbizi wale wa Burundi, leo unatuambia binadamu wote sawa uwongo mtupu, Zanzibar ni nchi inayo haki ya kujisimamia
Mkuu, eneo la Libya kamwe huwezi kulilinganisha na eneo ilipo Zanzibar ili kuhalalisha uwepo wa waarabu Zanzibar, na kutokuwepo kwa waafrika.
Kwa sababu hawa waliokuja Zanzibar kuikalia ndio wanaotaka kuiandika na kuiaminisha historia ya Zanzibar kiupotofu kwa sababu zao wanazozifahamu, na kwa ajili ya manufaa kwao.Mkua kuwa Zanzibar ilawahi kukaliwa na waarabu mwanzo au waafrica ina mahusiano gani na Maisha ya sasa?
Wadai nchi gani sasa wakati watu nchi wanayo, wanachodai namna bora ya wageni kuishi Zanzibar bila kupewa stahiki zisizo zao ! !wewe Mtanganyika ndio wakudai nchi maana hauna nchi upo upo tu, hakuna nchi inaitwa Tanzania bara Acha kujitoa akili weweDaini nchi yenu sasa, kama mnahisi imepokwa mamlaka na Tanzania bara. Lakini hatutaki ubaguzi wenu ilhali hakuna anayewabagua huku Tz bara.
Acha uongo wewe, Dr Mpango alivyoapishwa tu kuwa VP, maneno ya kaanza sio Mtanzania ni Mrundi, mpaka Zitto akamwaga povu kali sanaaaaaaa, maana anaona mmezidi kila mzaliwa wa Kigoma ni Mrundi, huku mnabaguana weeee ,lakini Mzanzibari akidai haki yake mnamuita mbaguziweee mburundi hapati shida Tanzania wewe hee chunguza wamejaa huko MUsoma mwanza yelewiiii
Sikia dogo Zanzibar siyo ya waarabu koko!! ukitaka amani rudi Ugiriki, humu mtapata Taabu sana nakuapia!! Mpango si huyo hapo Mrundi ndiyo! Muafrica mweusi tii! anakula Maisha, safi sana damu yetu hiyo.Acha uongo wewe, Dr Mpango alivyoapishwa tu kuwa VP, maneno ya kaanza sio Mtanzania ni Mrundi, mpaka Zitto akamwaga povu kali sanaaaaaaa, maana anaona mmezidi kila mzaliwa wa Kigoma ni Mrundi, huku mnabaguana weeee ,lakini Mzanzibari akidai haki yake mnamuita mbaguzi
Kwa sababu hawa waliokuja Zanzibar kuikalia ndio wanaotaka kuiandika na kuiaminisha historia ya Zanzibar kiupotofu kwa sababu zao wanazozifahamu, na kwa ajili ya manufaa kwao.
MtenganoHivi tanganyika tukitengana na Zanzibar nini kitatokea!!!
Hasira za kukosa nchi ndio zinakutesa mdanganyika, nani alikwambia uitoe kafara nchi yako kisa muungano? huo ni ujinga wako usituropokee sisi, hoja hiko pale Zanzibar ni nchi kamili, mamluki hawaitajiki kwenye nafasi za maamuzi, wanaruhusiwa kuishi kama wageni wengine ilo hatuna shida nalo , na kukumbusha uhai wa nchi yako ni miaka 3 baada ya uhuru wake, usimlaumu mtu kwa ujinga huo wa kuuza nchi kwa muunganoSikia dogo Zanzibar siyo ya waarabu koko!! ukitaka amani rudi Ugiriki, humu mtapata Taabu sana nakuapia!! Mpango si huyo hapo Mrundi ndiyo! Muafrica mweusi tii! anakula Maisha, safi sana damu yetu hiyo.
Africa moja km hujui sisi kamwe hatuwapingi warundi, wanyarwanda na kwa taarifa yako hatutawapinga Warundi wala wa kenya, wala wazaire Bacongo! wala yeyote Muafrica...
mtapata taabu sana hii mipaka iliwekwa na nguruwe weupe tu!! hatukuwa hivyo lk sisi Lugha yetu Bantu ni moja, Ukisikia nchi ya Levant yetu ilianzia kuleeee!! Iraq ya leo Mpaka zimbabwe!! ndiyo Mungu alitupatia.
Najua huna raha tunavojaliana waafrica , hata hapa unajaribu kufanya uchochezi ili tupigane na kuchukiana lakini waaapi!! mnamtumia Zito lkn wapi!! Namshauri Zito Awalie hela zenu sana, awachote akili sana , asiogope pa kukimbilia papo tutamlinda mwenzetu huyo!
Narudia tena Africa yote kusini mwa Sahara ni wa Baba Mmoja sijakosea narudia tena......kama mimi ni Mghana Lkn niko Bongo nakula Maisha bila wasi baadae naenda Ethiopia hakuna wa kuhoji make tuna fanana wote!! wewe Muarabu koko hatufananiiii hataa...
Nyie mnataka zanzibar kwa sababu mko km kunguru popote mnastukiwa mnachukiwa kwa vitendo vya Babu zenu dhidi ya watu weusi hamtakaa kwa amani Duniani hamfananii Uafrica... hata huko Ugiriki jamaa zenu hawawataki sijui mna nini?? kimavi au!!!
Mtakimbia kimbia weee!! mpak mnakufa ghafla!! yule sultani alipofukuzwa karudi Yemeni tu. kule napo ndugu zake wakamfukuza akaishia uingereza yaani hampendani hii yote sababu ya Damu na madhila mliyowafanyia waafrica, hamtakuwa na kikao Duniani.
kiufupi sasa mnatuonea wivu jinsi tunavo pendana na umoja wetu wa kujaliana mnatamani mfe , angalia sisi Mpango unamuonea wivu anaishi zaidi ya km kwao tu hapa japo ni Mburundi!! na kamwe hakuna wa kumgusa ndiyo ni Mburundi,
Mbona wako wengi tu humu Watusi, Nyerere kwa mfano ni mtusi, Jiwe alikuwa Msudani akakimbilia Rwanda baadae TZ, huyo hapo tumemzika,, Mwinyi Mngazija, JK kikwete Alitokea Iraq huyo hapo anakula Maisha na ole wako umguse tunakuua!!
Waruri wote wale ni waganda, wakurya wote wale ni wa Sudani, Wajaluo , Zulu, wangoni wamasai ni wa asili ya Egypt, wa barbaig ni wayahudi original wa kale unatuonea wivu...wivu ndo hivo tena hkn njia. gusa uone!
kifupi sisi wote humu ni wayahudi original isipokuwa nyie Waarabu koko!! asili yenu ni Cauccus Mountain huko Asia Mashariki ndiko babu zenu walikotoka. msitupatie shida sisi. ndo maana ya asili neno Cauccasians mnavoitwa.
Ukishindwa saana kajinywee kasumu kako upotee tu!! lkn siyo kudai zanzibar yetu! eti ni ya kwenu mweee!! bin thubuuutu!!
Hawana nchi hao hiko ndio kinawatesa, wameuza nchi yao kisa muungano, ndio maana watu wakijadili nchi zao, wao wanakuwa wakaliLakini Bado hayo hayaihalalishi Tanganyika kuikalia kimabavu Zanzibar.
Mimi ninaliona ifuatavyo: Sasa imekuwa ni "full circle."Lakini Bado hayo hayaihalalishi Tanganyika kuikalia kimabavu Zanzibar.
Mimi ninaliona ifuatavyo: Sasa imekuwa ni "full circle."
Kama kuna wageni waliotoka mbali wakaja kukukalia uani kwako na kudai hati miliki ya eneo hilo, na kufanya kila linalowezekana kutafuta hata nyaraka za kughushi kuhalalisha uvamizi huo; bila shaka ukiwa mtu mwenye kujiheshimu ni lazima ukatae uhujumu huo kwa kila njia unayoweza kuukataa.
Tanganyika, kidogo sana ilitaka kuchelewa kudai haki yake, lakini pamoja na uchelevu huo kuwepo, angalao kitu kilifanyika na sasa tuendelee tu kuuimarisha muungano wetu.