Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,737
Sijakosa nchi mimi ri nchi langu hili kuuubwa hivi!! nimekosa?? wewe umerogwa nini? nchi yangu haijatolewa kafara na haitatolewa kafara nailinda ikiwa ni pamoja na zanzibar yangu!! leteni fyoko muone km hamjakimbia uchi kurudi kwenu Ugiriki!!Hasira za kukosa nchi ndio zinakutesa mdanganyika, nani alikwambia uitoe kafara nchi yako kisa muungano? huo ni ujinga wako usituropokee sisi, hoja hiko pale Zanzibar ni nchi kamili, mamluki hawaitajiki kwenye nafasi za maamuzi, wanaruhusiwa kuishi kama wageni wengine ilo hatuna shida nalo , na kukumbusha uhai wa nchi yako ni miaka 3 baada ya uhuru wake, usimlaumu mtu kwa ujinga huo wa kuuza nchi kwa muungano
Kama okello aliwatisha tu kwa kutumia miwa!! tutatuma watoto wetu wawachape kwanza barabara mtie akili km hamtaki si muondoke mwende aliko kwenda sultani wenu! baba yenu hapo nani kwani??Lakini Bado hayo hayaihalalishi Tanganyika kuikalia kimabavu Zanzibar.
Endeleaa kujichetua wakati ukweli upo wazi , Tanzania ni muungano wa Zanzibar na Tanganyika, Zanzibar ipo kama nchi Tanganyika iko wapi? mmeua nchi kwa tamaa na ujinga wenu sasa mnalialia nini watu wanapojadili Zanzibar nchi pekee ilio hai katika muungano! !!ata ukiruka ruka Wadanganyika wameuza nchi kwa gharama ya Muungano bureèeeee kabisaaSijakosa nchi mimi ri nchi langu hili kuuubwa hivi!! nimekosa?? wewe umerogwa nini? nchi yangu haijatolewa kafara na haitatolewa kafara nailinda ikiwa ni pamoja na zanzibar yangu!! leteni fyoko muone km hamjakimbia uchi kurudi kwenu Ugiriki!!
Kwanza nako huko ugiriki hawawataki, sababu mliua watu nyie ....
Wadanganyika ni hopeless kabisaaa, yaani nchi yako umeizika halafu bado unakaza mishipa , Tanzania imepatikana kwa Tanganyika na Zanzibar, swali Tanganyika imekimbilia wapi?Kama okello aliwatisha tu kwa kutumia miwa!! tutatuma watoto wetu wawachape kwanza barabara mtie akili km hamtaki si muondoke mwende aliko kwenda sultani wenu! baba yenu hapo nani kwani??
Kama okello aliwatisha tu kwa kutumia miwa!! tutatuma watoto wetu wawachape kwanza barabara mtie akili km hamtaki si muondoke mwende aliko kwenda sultani wenu! baba yenu hapo nani kwani??
SAMIAPunguza hasira mkuu, hivi raisi wa JMT wa sasa ni nani?
Nimeiunganisha baada ya kuporwa na Jambazi Sultani, km Idd amini alivo pora Kagera si unaona nilliirudisha nchi yangu!! tena yale majambazi mi babau yenu ile inayowatuma yakanigawa yakaniita mtanganyika nika kataa mimi siyo mtanganyika! Bali mtanzaniaWadanganyika ni hopeless kabisaaa, yaani nchi yako umeizika halafu bado unakaza mishipa , Tanzania imepatikana kwa Tanganyika na Zanzibar, swali Tanganyika imekimbilia wapi?
Nchi kwa ukombozi upi? Mwiniyi, Samia siyo waarabu koko wale! walio ikomboa siyo nyie ni wabara Okello na Karume wamatumbi wale!! sasa kiko wapi!!Endeleaa kujichetua wakati ukweli upo wazi , Tanzania ni muungano wa Zanzibar na Tanganyika, Zanzibar ipo kama nchi Tanganyika iko wapi? mmeua nchi kwa tamaa na ujinga wenu sasa mnalialia nini watu wanapojadili Zanzibar nchi pekee ilio hai katika muungano! !!ata ukiruka ruka Wadanganyika wameuza nchi kwa gharama ya Muungano bureèeeee kabisaa
Ukweli ni huo.Haki yake ni ipi mkuu? Au unakusudia kuwa Zanzibar ni mali yake?
Utakuwa unafanya makosa makubwa mkuu.i wish ningekuwa Rais wa Tanzania asee ningeruhusu hawa jamaa wachukue nchi yao wakapambane na hari zao huko zenji easy kwakweli
Jamaa ana roho mbaya sana huyu !!tena ukute ana kaeneo hapa Kibaha picha ya ndegeNyie ni wabifsi sana. Mnakuja nchi za wengine mnafanya biashara na kumiliki mashamba viwanja ila hamtaki sisi tuje huko na kufanya kama nyie mnavyofanya huku kwetu. Chenu chenu, chetu chenu siyo vizuri.
Ukweli ni huo.
Hawa wageni waliokuja hapo watadai vipi kuwa ni mahali pao?
Wataanzia wapi, na kwa misingi ipi?
Akili zimeanza kukurudi, Ata mimi nisipokuwa Mzanzibari , hiyo haiwezi kufuta uwepo wa nchi ya Zanzibar kwasababu ipo pale kisheria, wewe na ujinga wako umeitoa sadaka Tanganyika kwa gharama ya Muungano, narudia Wadanganyika ni hopelessNchi kwa ukombozi upi? Mwiniyi, Samia siyo waarabu koko wale! walio ikomboa siyo nyie ni wabara Okello na Karume wamatumbi wale!! sasa kiko wapi!!
Wewe huna nchi mbona uelewi, nchi ilioungana na Zanzibar ni Tanganyika, ambayo haipo na imebaki story tu kama zakina Mkwawa, Acha kujichomeka kwa Zanzibar, ujinga wako umekuponza yaani Unapoteza nchi kisa Muungano ovyo kabisaNimeiunganisha baada ya kuporwa na Jambazi Sultani, km Idd amini alivo pora Kagera si unaona nilliirudisha nchi yangu!! tena yale majambazi mi babau yenu ile inayowatuma yakanigawa yakaniita mtanganyika nika kataa mimi siyo mtanganyika! Bali mtanzania
yakanuna saa yamekutuma wewe sikubaliiiiii...zitapigwa tu!! mpaka mtie akili
Kama unalijua hilo si muwaache, mnawabeza huku mmewakumbatia nyie Wadanganyika ni hopeless kabisaaa, Zanzibar ni nchi kamili, kwa utahiraa wenu mmepoteza nchi yenu ya Tanganyika kisa kuungana na Zanzibar, sasa nani mjinga hopeless kabisa weweTatizo ni Mtume wanaomfanya kuwa Role Model yaani Mwamedi wa Mecca
Hakuwa na elimu, hakujua kusoma wala kuandika sasa aliwarithisha hawa waarabu weusi wenye nywele ngumu na pua pana za kibantu
Alieolewa ni Tanganyika, maana baada ya Ndoa nchi yake ikafutika katika ulimwengu wa dunia halafu unakuja hapa unajisifu upuuzi ahahahaha, Zanzibar ilikuwepo na ipo mpaka leo, ebu tuambie ile Tanganyika ilioungana na Zanzibar ipo wapi? bureèeeee kabisaa wewe , tafuteni nchi yenu ahahahahaZanzibar ni wake zetu.
Tuliwaoa rasmi tarehe 26/4 mwaka wa 1964. Na kwa Bahati nzuri washenga na waliofungisha ndoa hawapo tena na hawatakuwepo tena.
Keshokutwa tutasherehekea jubilee ya ndoa yetu.
Kilichounganishwa na Mungu, Mwanadamu asikitenganishe
Yaani hatupo tayari kutoa talaka kwa wake zetu hawa. Migogoro ndani ya ndoa ni kawaida na tutahandle tu.
We ni wakupiga makofi kabisa, huna akili timamuKumeibuka wimbi kubwa la watu kutoka mataifa mbali mbali kuvamia visiwani Zanzibar na kujiita ni Wazanzibari kwasababu tu ya kauli mbiu ya kisiasa ya wadumisha Muungano inayosema (ZANZIBAR NI YA WAAFRIKA) kauli mbiu ambayo inatoa Uhalali wa wageni toka nchi jirani na Zanzibar kujitwalia mambo yaliyokua yanawastahiki Wazanzibari Asili (sio wakaazi) kukosa;-
-Fursa zao ktk Taifa lao mama
-Haki zao za msingi
-Uhuru wao ktk Taifa lao mama la Asili
-Haki zao stahiki kwenye Taifa lao
-Maamuzi ya kitaifa na kiraiya pamoja na kiuongozi
Na mengi mengineyo......
Zanzibar naona kama imetulia kidogo