Hivi zile matatuu za Kenya wanaunda wenyewe?

Kenya mko tofauti sana na sisi bongo. Kwani hiyo safari inachukua masaa mangapi hadi mtu awekeze yote hayo? Siku hizi watu wana smart phone na tablets. Anyway, umeshasema ni culture
 

one more buddy
 
Hahaha du!
 
Historia yake Ni refu, nitakupa link uisome
Edwin's Corner: THE QUEST FOR IDENTITY: MATATUS AND GRAFFITI IN KENYA

Kisha every society has its do and don't, its likes and dislikes. Watanzania kadhaa hawapendelei Matatu eti yana rangi nyingi, ni uharibifu wa pesa tu, Kelele bure nkd. Vile vile haya Madaladala ya dar nishayapanda na sitamani kuyapanda tena kwani nikama boksi tu lililo na viti, mziki hakuna, viti vyenyewe vimechakaa, Wi-Fi tu hakuna, TV ni ndoto nkd. Na ni kwa sababu mimi ni mkenya, Wewe u mtanzania, mtazamo wetu kwa vitu kadhaa watofautiana.
 
Hivi kunguni bado wapo? so ni kweli kwamba wakenya na wasomali wanaongoza kwa uchafu.Nildhani ni story za mtaani.Kunguni kwenye usafiri wa umma?huwa hawakogi wanakurupuka usishangae hata chawa bado wapo huko kenya.
 
Hatujali hata kama nyinyi watanzania hampendi matatu zetu, we love them the way they are......with all their chaotic appearance and loudness....











Nina swali moja ambalo mpaka leo sijapata jibu lake, kwa maana nilishawahi kupanda hayo Mabasi na humo ndani kuna mziki mkubwa ambapo huwezi wala kuongea na jirani yako hata kusoma tu gazeti huwezi lkn abiria wenyewe wanaona ni poa tu mimi kwangu nilikuwa naomba Mungu nifike kituo changu na kushuka nilishindwa kuelewa lkn swali langu ni kwamba hiyo investment wanayofanya inalipa kweli? Kwa maana wanaweka flat screens kila kiti kama kwenye ndege, huo muziki peke yake ni gharama kubwa sana sasa wanawezaje kurudisha fedha walizowekeza? Au wanauza drugs hawa wamiliki? kwa maana kwangu haingii akilini kuwekeza hela yote hiyo kwa abiria ambaye anashuka tu kituo kinachofwata, kama lingekuwa long safari labda hapo kidogo ningeelewa lkn kwa commuter busses kufanya investment yote hiyo kwangu ni ngumu kuelewa, Hilo kwangu ni fumbo kubwa!
 


Being a free world where there's a willing buyer and a willing seller, hela atarudisha hivi.... Kutoka e.g. Githurai hadi mjini tuseme ni Kshs 30 matatu ya kawaida ambayo haina mvuto, WiFi, mziki wa nguvu,flat tv n.k. ,,,,,,, ambayo ina hivyo vitu vyote jua ya kuwa nauli ni Kshs 40 au 50. Moja ikiwa nauli ni 20/- nyingine ni 40/- au 30/-. Saa, zidisha na watu hamsini halafu per trips. Halafu ikumbukwe hizi matatu hujaa haraka kuliko zisizoongezewa manjonjo. Niambie, jamaa hatarudisha hela yake?
 
Kenya mko tofauti sana na sisi bongo. Kwani hiyo safari inachukua masaa mangapi hadi mtu awekeze yote hayo? Siku hizi watu wana smart phone na tablets. Anyway, umeshasema ni culture


Wakati mwingine inasaidia sehemu ama routes ambazo kuna foleni lakini sana sana ndani ya lisaa tu.
 
Halafu huo mziki huwezi hata kuongea na simu ndani ya matatu, jamaa miziki yao ni shida wanafungulia hadi mwisho na hakuna kupunguza sauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…