nyiudanyuki
Member
- Jul 17, 2016
- 7
- 2
Kuna vitu vya kubishania bwana sio hapa. Yaani inaonekana kabisa tz wamepigwa gape hapa ila mijitu inabishaaaa aaagh!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenya mko tofauti sana na sisi bongo. Kwani hiyo safari inachukua masaa mangapi hadi mtu awekeze yote hayo? Siku hizi watu wana smart phone na tablets. Anyway, umeshasema ni cultureKwa mwanabiashara yeyote lazima awekeze....... Ili mwenye matatu apate hela lazima atoe hela,,,,,tena kwa sana. Matatu ambazo hazina interior nzuri,exterior, rangi,graffiti, WiFi, mziki uliochujwa,tweeters,woofer,flat screen, zingine zina hata cctv cameras, zingine zina visimbusi / vingamuzi,mufflers,taa za rangi-rangi wakati wa usiku siti nzuri,zingine zina tablets ama screens ndogo kwa kila siti......the list is endless! Kama jinsi mdau mmoja alivyosema,zipo ambazo hazina manjonjo,nauli yake ipo chini saaaana, ila huchukua muda mrefu kujaa. Kipato kitakuwa kidogo kwa mwenye matatu. Kwa mfano Matatu iliyopambwa inaweza tengeneza trip 10, ya kawaida Labda nusu yake. Hii ndio MATATU CULTURE!
Kiukweli nikilinganisha na daladala zetu hapa bongo nashindwa kuwaelewa wakenya. Zile matatuu zao ni mabasi fulani hivi yamekaa muundo wa kiajabu sana. Sio wa karne hizi bali ni karne ya 19. Nilikuwa kule wakati fulani nikayaona na kuyapanda. Mengine huoni mbele wala nyuma ukiwa umepanda. Halafu yana rangi za ajabu kama kinyonga. Na yanafanya safari zake ndani ya jiji la Nairobi
Hahaha du!hamna kitu hapooo.....>>>>> yamejaa kunguni hayo maboksi
A report has revealed Nairobi matatu routes with the highest prevalence of bedbug infestation that is now threatening to crumble the business.
Kangemi, Kawangware, Thika, Juja, Eastleigh, Jogoo, Rongai, Ngong, Kayole and routes along Mombasa road have been identified as the most affected.
According to conductors plying the routes, passengers unknowingly carry the pests and 'deposit' them in the matatus.
The bedbugs are also said to be transferred by city tenants relocating using public transport.
According to a report by the Standard, commuters shy away from boarding vehicles suspected to be infested by the bedbugs.
“These parasites are now threatening to cripple our business since many people fear to board public service vehicles,” said Chrispin Omollo, a conductor.
It is claimed that old matatus with sponge seats play host to most of the pests. Such matatus are usually preferred by a majority of city residents due to their relatively lower fares.
Following the infestation, most matatus now have stickers urging passengers to contact the respective SACCOs for fumigation services.
Matatu Welfare Association Chairman Dickson Mbugua has urged Nairobi residents to file complaints with bus companies whenever they notice bedbugs.
nairobinews.
Gap la nini chief? Hayo mavifaru[emoji57] [emoji13]Kuna vitu vya kubishania bwana sio hapa. Yaani inaonekana kabisa tz wamepigwa gape hapa ila mijitu inabishaaaa aaagh!!!
Kaka basi fananisha wewe hayo magali ya tz na knyGap la nini chief? Hayo mavifaru[emoji57] [emoji13]
Historia yake Ni refu, nitakupa link uisomeMkuu naomba uniambie kuhusu historia ya matatu na ilikuwaje mpk kenya ikawa vile
Kwakua kwa ufahamu wangu matatu ni zaid ya gari. Ni lifestyle fulani hivi iliyochanganya hip hop car enthusiasm(wanayapimp kama gar binafsi) Na ukenya flani hivi.
Umaweza kunipa historia ya hizi gar toka zimeanza na ilikuwaje zikakubalila kwenu. Katika hili hakuna ligi. Kenya thumbs up. East african brothers
we bado utakuwa uko kijijini ua kenya..acha ushamba jaribu kutembea mkuu.Kaka basi fananisha wewe hayo magali ya tz na kny
Be genuine basii nitoe ushamba fananisha basiii tuoneeewe bado utakuwa uko kijijini ua kenya..acha ushamba jaribu kutembea mkuu.
Hivi kunguni bado wapo? so ni kweli kwamba wakenya na wasomali wanaongoza kwa uchafu.Nildhani ni story za mtaani.Kunguni kwenye usafiri wa umma?huwa hawakogi wanakurupuka usishangae hata chawa bado wapo huko kenya.A report has revealed Nairobi matatu routes with the highest prevalence of bedbug infestation that is now threatening to crumble the business.
Kangemi, Kawangware, Thika, Juja, Eastleigh, Jogoo, Rongai, Ngong, Kayole and routes along Mombasa road have been identified as the most affected.
Mkuu hiyo si maneno yangu. Ni ya huko huko
Hatujali hata kama nyinyi watanzania hampendi matatu zetu, we love them the way they are......with all their chaotic appearance and loudness....
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nina swali moja ambalo mpaka leo sijapata jibu lake, kwa maana nilishawahi kupanda hayo Mabasi na humo ndani kuna mziki mkubwa ambapo huwezi wala kuongea na jirani yako hata kusoma tu gazeti huwezi lkn abiria wenyewe wanaona ni poa tu mimi kwangu nilikuwa naomba Mungu nifike kituo changu na kushuka nilishindwa kuelewa lkn swali langu ni kwamba hiyo investment wanayofanya inalipa kweli? Kwa maana wanaweka flat screens kila kiti kama kwenye ndege, huo muziki peke yake ni gharama kubwa sana sasa wanawezaje kurudisha fedha walizowekeza? Au wanauza drugs hawa wamiliki? kwa maana kwangu haingii akilini kuwekeza hela yote hiyo kwa abiria ambaye anashuka tu kituo kinachofwata, kama lingekuwa long safari labda hapo kidogo ningeelewa lkn kwa commuter busses kufanya investment yote hiyo kwangu ni ngumu kuelewa, Hilo kwangu ni fumbo kubwa!
Kenya mko tofauti sana na sisi bongo. Kwani hiyo safari inachukua masaa mangapi hadi mtu awekeze yote hayo? Siku hizi watu wana smart phone na tablets. Anyway, umeshasema ni culture