Juice 100! Kwa siku sio?Mfano; Anauza juice chupa 100 kila 1 2,000 jumla 200,000 ukitoa gharama kwa siku 70,000 anaondoka nyumbani na 130,000
Kivipi udhani hawawezi kuendesha maisha kwa kuuza juice?
Nimekutolea mfanoJuice 100! Kwa siku sio?
Mmh basi kama inawezekana na ni ukweli nije pm unipe mbinu na mimi niweze kuokota pesa kizembe.
Biashara sio rahisi hivyoo.. Juice I natembea ndio ila competition ni kubwa pia..
Kwa scenario ya kutembeza kwenye stores nahisi zinaweza zisifike 20..
Duniani kuna mengi.Kua uyaone.Kati ya vinywaji pendwa sana ukiachana na mitungi DSM ni juice za matunda(plus joto linachangia) mimi pia hupenda juice kila nilapo lazima niwe nayo pembeni...
Huwa napendelea sana kununua hasa kwa wale wenye vigori vyao, sio za kuandaliwa alafu ziwekwe kwenye chupa za soda..
Kila nikienda kariakoo huwa naendelea sana kununua juice hasa zile za chupa sealed, kuna wale wadada fulan hivi huwa wanakitembeza kwenye zile frame kali kali... Unakuta ni pisi imenyooka kweli sio kusema eti kazi ya kuuza juice inafanya awe na uwezo wa ku accommodate alivyo navyo... Kwanza ana iPhone latest, nguo kawaka za bei mbaya... Yaani kuna watu wako maofisini na hawamsogelei.. I think you understand what I mean (hakuna uwiano kati ya kazi anayo fanya na jinsi alivyo)
Sasa unakaa kujiuliza, uwinga hapigi..
Je huwa kuuza juice ni kama geresha tu la kufanya ding ding stuff?
Binafsi huwa nafikiria labda huwa wanamasponsor so kazi yao ni kukiwasha daily ila ili juice iwe kama kisingizio!! Maana it's almost impossible kuamini anawezaje kuwa consistent na namna ile...
Siongelei wale wa mtaani, kuna pisi flan spesho huwa zipo zinazunguka store baada ya store...
Kuna manzi ninapokaa huku anastore yake ya juice tuu, anatengeneza mpaka smoothies huyo ana watu kabisa wa naweka order na ana deliver so kwake sawa ila kwa hao wa kariakoo inakuwa ngumu kukubaliKivipi udhani hawawezi kuendesha maisha kwa kuuza juice?
Kkoo yenye watu zaidi ya 10000 ushangae mtu kuuza juice chupa 200?Kwa mazingira yale huo mfano hauko applicable
tatizo mawinga wanawakopa sana wale wadadaJuice moja 3000 x 100 =300,000
Matunda ya kutengeneza hizo juice pale ilala hayafiki 30,000
Kariakoo ni soko kubwa na juisi ni hitaji kubwa inawezekana inawalipa kuliko duka lako la nguo uswekeni huko
Swala la tabia hata maofisini kuna mademu wanajiuza
Mkuu hapa umeandika biashara ya daftari...Juice moja 3000 x 100 =300,000
Matunda ya kutengeneza hizo juice pale ilala hayafiki 30,000
Kariakoo ni soko kubwa na juisi ni hitaji kubwa inawezekana inawalipa kuliko duka lako la nguo uswekeni huko
Sasa umeweka mada tunacomment unatubishia! Unataka kusikia majibu unayoyataka wewe kwamba wale wadada ni wanajiuza, wana masponsor au wauza ngadaMkuu hapa umeandika biashara ya daftari...
Hata mwenye anatengeneza large scale hawezi toboa namna hiyoo..
Hao wateja mia unafikiri ni rahisi tu?
Ni strategy tu ukiwa na watu wa delivery 5 kila mtu ana maduka yake unashambulia chapu hata zaidi ya 100Mkuu hapa umeandika biashara ya daftari...
Hata mwenye anatengeneza large scale hawezi toboa namna hiyoo..
Hao wateja mia unafikiri ni rahisi tu?
Nimemjibu kiuhalisia ya kuwa hizo juice 100 hata mwenye kigori cha juice mtaani kwa elf 3 ni ngumu kutoboa...Sasa umeweka mada tunacomment unatubishia! Unataka kusikia majibu unayoyataka wewe kwamba wale wadada ni wanajiuza, wana masponsor au wauza ngada