Hivi zile pisi kali zinazouza juice Kariakoo zinajiendesha zenyewe kweli?

Hivi zile pisi kali zinazouza juice Kariakoo zinajiendesha zenyewe kweli?

You are very bright my friend ni kweli zinakua chini kwa sababu hiyo but still ni Tax hata kenya inalipwa 7.5% kwa kila Rental income, BTW upo vizuri
Basi nipe mchanganuo wa kurun hiyo business ya juice, maana kwa jinsi ulivyosema ukiwa na store alaf ukawa na vendors ambao wanawatu wao unapiga hela
 
Nafikiri ili kupata uhakika ingebidi umtongoze mmoja ili uwe na jibu kamili
Wengine tuko vijijini huku
 
Basi nipe mchanganuo wa kurun hiyo business ya juice, maana kwa jinsi ulivyosema ukiwa na store alaf ukawa na vendors ambao wanawatu wao unapiga hela
Well kwa experience yangu ya U-vendor weapon to sell a PRODUCT ni 1.quality yenye consistency na utofauti wa hiyo product. Mfano (NICHE ya juice ya matunda yasiyo na sukari wala maji) watu siku hizi ni healthy concious sababu ya magonjwa mengi ya kisasa so wanatafuta vyakula healthy na vyakula hivyo havipo

Wauzaji wengi ni wahuni, poor quality products na waongo waongo.

Unaweza kuuza 0 juice perday ukikosa vitu hapo juu cause now people buy health not food.

2. Bei sio determinant ya kuuza any more.
Yale majuice yenye maji mengi na sukari ya 1000 au 500 hayawezi kumtoa mtu yoyote kibiashara kwanza kila mtu anayauza alafu hygiene poor na unhealthy

Weka Bei juice 3000 alafu ji Brand kwa maneno mawili tu Hauweki SUKARI wala MAJI ni pure juice (because that carries healthy value) na ndo watu wanataka kwa sasa. Remeber people buy feeling not product

REMEMBER PEOLE BUY FEELING na Hiyo feeling ni kile kinachowasumbua watu wengi (figo, diabetes, pressure, cancer) when you say water melon juice cleans toxins that is the feeling ur selling and solving a real problem
 
Back
Top Bottom