Hivi zile pisi kali zinazouza juice Kariakoo zinajiendesha zenyewe kweli?

Hivi zile pisi kali zinazouza juice Kariakoo zinajiendesha zenyewe kweli?

Mfano; Anauza juice chupa 100 kila 1 2,000 jumla 200,000 ukitoa gharama kwa siku 70,000 anaondoka nyumbani na 130,000

Kivipi udhani hawawezi kuendesha maisha kwa kuuza juice?
Kabisa inawezekana wanapiga sana pesa sema si Kwa WEPESI hivo zinaenda ila chupa mia si kizembe, ngumu sana na asutegemee kkoo peke labda na mchimbo mengin
 
Mfano; Anauza juice chupa 100 kila 1 2,000 jumla 200,000 ukitoa gharama kwa siku 70,000 anaondoka nyumbani na 130,000

Kivipi udhani hawawezi kuendesha maisha kwa kuuza juice?
Hizi calculation huwa rahisi sana kwenye karatasi mkuu.
 
Hizi calculation huwa rahisi sana kwenye karatasi mkuu.
Ndo kawaida ya wabongo huwa wanapenda kumaliza kila kitu kwenye daftari na nadharia akiingia kwenye uhalisia anakimbia
 
Umeleta thread huku una majibu yako unategemea watu wakujibu. Bahati mbaya wstu wanawaza tofauti.

Kuna wahindi ni mabilionea kwa kuuza vibration,sind another za kushonea na vifungo vya nguo. Vitu vinavyouzwa tsh 50-tsh100.
Si kuja na majibu yangu mkuu nilikuwa naweka kwenye mizani mawazo ya watu na kuwa Uliza inawezekanaje ila hawanijibu
 
Si kuja na majibu yangu mkuu nilikuwa naweka kwenye mizani mawazo ya watu na kuwa Uliza inawezekanaje ila hawanijibu
Umeambiwa wanaweza kuuza hata chupa 100 za juice unabisha unataka wakwambie kama unavyowaza? Basi wanauza natural juice yao.
Kuna mahali huwa nakula biriani kila ijumaa na kesho naenda, huyu dada na watu wake sahani moja wanauza tzs 9,000. Na usipotoa order kanla ya saa nne hupati biriani yote imeisba. Na anapika sufuria kubwa sana. Unafikiri anapata kiasi gani hio ijumaa tu?
 
OK nimekuelewa mkuu

Ila kwenye juice kidogo kwa mchanganuo ule ni ngumu kuamini japo inawezekana
 
Kwani si umesema wanafanya biashara ya juisi, kwanini uwawazie mabaya, hata akiwa na sponsor kuna shida gani Mkuu au tongoza mmoja uwe sponsor wake ili mambo yasiwe mengi bwashee
Kweli mkuu.
Mmatumbi kwenye moja na mbili huwa na nongwa tu
 
Well kwa experience yangu ya U-vendor weapon to sell a PRODUCT ni 1.quality yenye consistency na utofauti wa hiyo product. Mfano (NICHE ya juice ya matunda yasiyo na sukari wala maji) watu siku hizi ni healthy concious sababu ya magonjwa mengi ya kisasa so wanatafuta vyakula healthy na vyakula hivyo havipo

Wauzaji wengi ni wahuni, poor quality products na waongo waongo.

Unaweza kuuza 0 juice perday ukikosa vitu hapo juu cause now people buy health not food.

2. Bei sio determinant ya kuuza any more.
Yale majuice yenye maji mengi na sukari ya 1000 au 500 hayawezi kumtoa mtu yoyote kibiashara kwanza kila mtu anayauza alafu hygiene poor na unhealthy

Weka Bei juice 3000 alafu ji Brand kwa maneno mawili tu Hauweki SUKARI wala MAJI ni pure juice (because that carries healthy value) na ndo watu wanataka kwa sasa. Remeber people buy feeling not product

REMEMBER PEOLE BUY FEELING na Hiyo feeling ni kile kinachowasumbua watu wengi (figo, diabetes, pressure, cancer) when you say water melon juice cleans toxins that is the feeling ur selling and solving a real problem
Huu sio mchanganuo kaka
Hapa umetoka inspiration tuu

Yes about people buying feelings
 
Mfano; Anauza juice chupa 100 kila 1 2,000 jumla 200,000 ukitoa gharama kwa siku 70,000 anaondoka nyumbani na 130,000

Kivipi udhani hawawezi kuendesha maisha kwa kuuza juice?
Biashara ingekua rahisi kama ambavyo umeandika kila mtu angekua bilionea humu
 
Alafu ukiuliza je inawezekanaje anasema ya kuwa ndivyo ilivyo tuu yeye hafanyi
Motivation speakers hao..utasikia anapiga watu kamba eti ooh mimi nilikua nafanya kazi ubalozi wa marekani nikaona ni utumwa nikaacha nikaanza kuuza juice ya miwa kariakoo,sasa hivi nina viwanda vitano vya juice.yani jamaa huwa wanaingiza watu chaka sio kabisa.
 
Inabidi uishi kijanja humu
 
Back
Top Bottom