Hivi zile pisi kali zinazouza juice Kariakoo zinajiendesha zenyewe kweli?

Hivi zile pisi kali zinazouza juice Kariakoo zinajiendesha zenyewe kweli?

Kati ya vinywaji pendwa sana ukiachana na mitungi DSM ni juice za matunda(plus joto linachangia) mimi pia hupenda juice kila nilapo lazima niwe nayo pembeni...

Huwa napendelea sana kununua hasa kwa wale wenye vigori vyao, sio za kuandaliwa alafu ziwekwe kwenye chupa za soda..

Kila nikienda kariakoo huwa naendelea sana kununua juice hasa zile za chupa sealed, kuna wale wadada fulan hivi huwa wanakitembeza kwenye zile frame kali kali... Unakuta ni pisi imenyooka kweli sio kusema eti kazi ya kuuza juice inafanya awe na uwezo wa ku accommodate alivyo navyo... Kwanza ana iPhone latest, nguo kawaka za bei mbaya... Yaani kuna watu wako maofisini na hawamsogelei.. I think you understand what I mean (hakuna uwiano kati ya kazi anayo fanya na jinsi alivyo)

Sasa unakaa kujiuliza, uwinga hapigi..

Je huwa kuuza juice ni kama geresha tu la kufanya ding ding stuff?

Binafsi huwa nafikiria labda huwa wanamasponsor so kazi yao ni kukiwasha daily ila ili juice iwe kama kisingizio!! Maana it's almost impossible kuamini anawezaje kuwa consistent na namna ile...

Siongelei wale wa mtaani, kuna pisi flan spesho huwa zipo zinazunguka store baada ya store...
Bila PICHA huu uzii ni batili ☺️😊😊in JPM VOICE
 
Mkuu hapa umeandika biashara ya daftari...

Hata mwenye anatengeneza large scale hawezi toboa namna hiyoo..

Hao wateja mia unafikiri ni rahisi tu?
Hahaha, mie mwenyewe nawaangalia tu wanavyopiga hizo hesabu.Si kila mtu angeenda kariakoo kuzungusha juice...
 
Bila PICHA huu uzii ni batili ☺️😊😊in JPM VOICE
download (3).jpg
 
Back
Top Bottom